Breakfast idea, simple kabisa: Mkate wa kupaka carrot na mayonnaise

Kuna member Majuzi ametuasa tusipende kugonga white bread kwa Usalama wa afya zetu.
 
Aah acha akunenepeshe bana, afu wakati mwingine unajikuta unanenepa tu kutokana na mahaba teh teh
Mmh hapo kwenye mahaba labda uwe na uhakika wa kulipa bills za familia kwanza, vinginevyo ngumu hata upewe mahaba gani, labda kwa mwanaume irresponsible ndo inawezekana
 
Mmh hapo kwenye mahaba labda uwe na uhakika wa kulipa bills za familia kwanza, vinginevyo ngumu hata upewe mahaba gani, labda kwa mwanaume irresponsible ndo inawezekana
Hahaha nimechekaaaaa. Nope pata picha umetoka job mambo yamegoma. Unarudi home wifi anakupetipeti afu anakupa maneno ya faraja, mbona unapata ka ahueni. Teh Rudi huna hela kwa dada ako atoto, mahaba yanaenda likizo
 
Hata akupetipeti bado haisaidii sista, coz bado tu atakwambia jikoni hakuna hiki na hiki, mtoto kaja na barua hela inatakiwa shule, ahueni itatoka wapi hapo!!!
Anipetipeti huku akiwa katimiza hayo majukumu tiyari ndo ntapata ahueni ya mahaba yake, teh!
 
Hahaha I understand my kaka; usifanye utani na majukumu aiaee
 
Kubana pua na kucheka cheka sio dalili nzuri sana kwa mtoto wa kiume
 
Inaleta kisukari mkuu, akapendekeza tugonge brown bread, so ukiweka hivyo vikorombwezo vyako kwenye hiyo brown bread itakuwa mahala pake, Sema kuipata sasa kwa siye wa madongo kuinama ni issue.
Ooh ahsante, nlikua sijui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…