Breakfast in Bed....

Bacteria mwilini ambao hawawezi kucontaminate chakula mpaka wawe kitandani sio?

By the way, inategemea na sehemu unayofanya hii kitu mkuu. Siku hizi kuna mabafu ambayo unaweza kuchill kwenye bath tub huku unakunywa juice au balimi!

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

It's 2018, let's not live like Mansa Musa and Zwangendaba!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…