Breakfast in Bed....

Breakfast in Bed....

iyo mbona simple tu kwani napungukiwa na nini,,,,,halafu ukizingatia huwa unamkuna K adi anajisikia kamwe hawezi kukuacha yani ata akijaribu kukuacha lazma atarudi tu mwenyewe
 
Ndio, napika lunch, nafanya house chores bila shida. Ila bed breakfast hapana aisee.
Tofauti ni nini? Baada ya mezani msosi unaingia chumbani.
 
Tofauti ni nini? Baada ya mezani msosi unaingia chumbani.
Kuna tofauti kubwa(kwangu), nikipika na kuweka mezani hiyo ni routine ya kawaida kabisa, hilo unalosema kwangu nitakuwa nafanya maigizo tu mkuu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu buana kila kitu mnaona mtihan kufanya ee , aya ngojen tuwaibe na muibiwe
 
Kuna tofauti kubwa(kwangu), nikipika na kuweka mezani hiyo ni routine ya kawaida kabisa, hilo unalosema kwangu nitakuwa nafanya maigizo tu mkuu.
Same thing.
 
Back
Top Bottom