Breakfast in Bed....

Breakfast in Bed....

Asee mambo ya Vacation ,kuna memba humu natamani niiende nae Vacation japo Nairobi tu au Serengeti mbugani ,hakika nitafanya zaidi ya hy kwa ajiri yake

Ukijipanga na ukampanga inawezekana, hizo mambo Mara moja kwa mwaka si mbaya.

Na mkiwa kwenye mood nzuri mbona unajikuta unafanya zaidi ya hapo? Kikinukia vacation ndo shida, halafu unajikuta umebook 3 days na kinanuka day 1.

Dah, nimekumbuka mbali sana, hizi mambo za kushtukizana hazitakiwi aisee.
 
Ha ha ha ha kikinuka vacation balaa! Kama ndoa ya kikristo.
 
Ukijipanga na ukampanga inawezekana, hizo mambo Mara moja kwa mwaka si mbaya.

Na mkiwa kwenye mood nzuri mbona unajikuta unafanya zaidi ya hapo? Kikinukia vacation ndo shida, halafu unajikuta umebook 3 days na kinanuka day 1.

Dah, nimekumbuka mbali sana, hizi mambo za kushtukizana hazitakiwi aisee.
Easter Holiday
 
Ubunifu gani huo binfsi ntakugegeda ila jikoni ntapika tutakula tena chakula ambacho cha kipekee ila sio huo upuuzi wa kuiga iga
 
Back
Top Bottom