Elizabeth Dominic
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 4,555
- 3,660
Kulala hataki,kula hataki,analia kama mtoto mdogo,
kwa kweli nimeamini duniani,hujafa hujaumbika pole sana mzee Mtambuzi
Aisey Chimbuvu mi nimehuzunika sana! Na hii habari na hasa nilipopata fununu kwamba ktk kumhamisha Hotel moja kwenda nyingine mlihamisha huku kavaa taulo! Yaani tumbo wazi na taulo kwenye Tax, imeniskitisha mno!
Sasa hasira zitaamia kwako na hiyo SHIKAMOO yako, we subiri apate nguvua fike kwa huku...
Afukuzwa hotelini, na kupigwa black list asikanyage hotelini hapo, mwenyewe adai binti alitaka kumbaka wakati alipokwenda kumtandikia kitanda.. Ahamia logde maeneo ya Pasiansi.....
More update to follow....
ss kama ana deserve mi nifanyeje?...ila nimefadhaishwa na taarifa hii
naona kimenuka sasa...hebu tupiamo na kale kapicha!
Afukuzwa hotelini, na kupigwa black list asikanyage hotelini hapo, mwenyewe adai binti alitaka kumbaka wakati alipokwenda kumtandikia kitanda.. Ahamia logde maeneo ya Pasiansi.....
More update to follow....
Yap nami nilikuwepo eneo husika baada ya kupigiwa simu,kwa kweli tafrani niliyoikuta ningechelewa kidogo sa hv tungekuwa tunasema mengine,
nilimpeleka lenana hotel tukakuta imejaa nikamrudisha ms lodge ndipo amejisitiri mpaka dakika naondoka hali yake si shwari na inasemekana binti atamfungulia kesi ya udhalilishaji kama aliyofunguliwa mkurugenzi wa IMF