BREAKING NEWS: Mzee Mtambuzi afumaniwa na binti wa housekeeping

BREAKING NEWS: Mzee Mtambuzi afumaniwa na binti wa housekeeping

Yap nami nilikuwepo eneo husika baada ya kupigiwa simu,kwa kweli tafrani niliyoikuta ningechelewa kidogo sa hv tungekuwa tunasema mengine,
nilimpeleka lenana hotel tukakuta imejaa nikamrudisha ms lodge ndipo amejisitiri mpaka dakika naondoka hali yake si shwari na inasemekana binti atamfungulia kesi ya udhalilishaji kama aliyofunguliwa mkurugenzi wa IMF

Asharudi kujihifadhi SHINYANGA GUEST huku Lumumba.... Na yule house keeping si kasepa na kibegi chake chenye nguo zote... Kambakishia alovaa tu.....!!!!
 
Afukuzwa hotelini, na kupigwa black list asikanyage hotelini hapo, mwenyewe adai binti alitaka kumbaka wakati alipokwenda kumtandikia kitanda.. Ahamia logde maeneo ya Pasiansi.....
More update to follow....
chezea muwa uliozamisha meli
 
Bujibuji, kafanye maombi pale....tena ilibakia kidogo nimpe ushenga wakati nataka kumuwowa Zion Daughter,ila nikasita,kumbe huyu muzee mukwareeeeee

C.c Mtambuzi
majany sisi watumishi hatufanyi kazi kwa kusikia maneno au taarifa za upande mmoja, huwa tunadadisi na kuchunguza uchunguzi wa kina. Kwa haraka haraka siwezi kusema lolote mpaka nisikie na upande wa Mtambuzi na pia upande wa huyo housekeeper.
Kisha nifanye history taking ya pande zote tatu, upande ulioleta mashtaka, upande wa Mtambuzi na upande wa huyo binti.
 
Last edited by a moderator:

Hata picha hujaiamini....!??
 
Last edited by a moderator:
5f59e50d07L.jpg

Nilibahatika kupata kapicha kamoko... hebu ngoja niwaulize wahudumu kama walipata picha nyingine.....
 
Mbona huyu mzee yuko kwa village kwao! Kama 2weeks kaja lini jiji la joto!
Souces;mjukuu wake!!

Mjukuu alipigwa changa la macho huyo.... Alikuwa anataka kumfatilia babuye¡¡¡¡
 
Asharudi kujihifadhi SHINYANGA GUEST huku Lumumba.... Na yule house keeping si kasepa na kibegi chake chenye nguo zote... Kambakishia alovaa tu.....!!!!

Mwenzangu Lenana imemshinda....hiyo Shy guest house ndio hivyo tena uzuri juu kuna Kanisa Asemblies of God nyepesi ni kuwa jamaa babu yetu mzee wetu kajikabidhisha mikononi kwa mchungaji.......Mungu yu mwema
 
Back
Top Bottom