BREAKING NEWS: Mzee Mtambuzi afumaniwa na binti wa housekeeping

BREAKING NEWS: Mzee Mtambuzi afumaniwa na binti wa housekeeping

Acheni kumsingizia mzee mtambuzi hawezi kufanya hivyo na namuahidi ntamzawadia dada yangu ili angalau aongeze mke mwingine kwani huyo mmoja aliyenaye hamtoshi kabisa, kabla ya kurudi dar umpitie hapa ilemela
 
yaani hata wewe unanigeuka na kunipigia upatu kwa kosa la kusingiziwa na kale kabinti ka housekeeping kenye makalio kama chungu cha kisukuma cha kupikia sato..
kabinti kenyewe kabaya vile akatamani nani.....

na huyo Elizabeth Dominic melta umbea ole wake aingie anga zangu, nitamtovuga ujinga umtoke..... LOL

Nye nye nye.....umbea? hapa vumbi limetujaa twakufata Shy guest house...hauna wema kwakweli
 
Last edited by a moderator:
hongera King'asti, naona mwaongezewa ma'mdogo wa hiyari....

Acheni kumsingizia mzee mtambuzi hawezi kufanya hivyo na namuahidi ntamzawadia dada yangu ili angalau aongeze mke mwingine kwani huyo mmoja aliyenaye hamtoshi kabisa, kabla ya kurudi dar umpitie hapa ilemela
 
Last edited by a moderator:
Ndiomaana maeneo ya iloganzala kulikuwa na watu wengi sana mpaka maeneo ya kanisa la wasabato pale pasiansi... vipi alikuwa MASUNGA GUEST HOUSE ?????

Sent from my GT-N7100 using Tapatalk 2
 
Mwanangu usiwasikilize hao washakunaku wakaanga mbuyu wanaowaachia wenye meno watafune..
Hawa mabinti wa Mwanza ni hatari sana kwa kuwategeshea watu....

hahahaha na wewe ukanasaa kabaaaa..... kwikwikwikwikwi mzee mwenzangu hii soo mi sikuongea chochote toka mwanzo nikisubiri kauli ya ko kwanza ili niweze kutenda haki katika comments zangu

cc King'asti, Snowhite
 
wamenisingizia hawa mabinti, kale kasichana kalitaka kunibaka na nilipokataa, ndio kakapiga kelele na kuniletea kisirani...

mzee mwenzangu ungeniambia uko ughaibuni ningekufundisha mbinu za kukwepa hawa housekeeping mi mjsnja arusha mda wote wametega mpaka ulimbo hawajanipata jiwe lina ngozi ya kambale halikamatiki
 
naona nazeeka sasa aaah! moderator anasemaje kuhusiana na isue ulio anzisha kule..

Hahaha...
Mkuu uzi umefutwa ila bado wasomeka, nimeamua niwe kimya tu naona tunapishana mitazamo.
Jukwaani tunapita tu, ila bado haibadilishi uhalisia wetu.
Njegere zitaendelea kuitwa njegere hata kama akitokea mwendawazimu mmoja na kuziita choroko.
 
Afukuzwa hotelini, na kupigwa black list asikanyage hotelini hapo, mwenyewe adai binti alitaka kumbaka wakati alipokwenda kumtandikia kitanda.. Ahamia logde maeneo ya Pasiansi.....
More update to follow....


nilijua tuuuu........huyu babu ni balaa jamani!
 
Back
Top Bottom