BREAKING NEWS: Mzee Mtambuzi afumaniwa na binti wa housekeeping

Jamani baba Nginaaaaaaaaaaa....!

Uwiiiiiiiiiii
wamenisingizia hawa mabinti, kale kasichana kalitaka kunibaka na nilipokataa, ndio kakapiga kelele na kuniletea kisirani...
 
He he he mzee mwenzangu utetezi wako huu....!!! au kalikuamkia shikamoo ukakataa ndo kakazusha valangati...!!!?
 
Thibitishia umma kama kweli tunakusingizia.
yaani hata wewe unanigeuka na kunipigia upatu kwa kosa la kusingiziwa na kale kabinti ka housekeeping kenye makalio kama chungu cha kisukuma cha kupikia sato..
kabinti kenyewe kabaya vile akatamani nani.....

na huyo Elizabeth Dominic melta umbea ole wake aingie anga zangu, nitamtovuga ujinga umtoke..... LOL
 
Last edited by a moderator:
Mwanangu usiwasikilize hao washakunaku wakaanga mbuyu wanaowaachia wenye meno watafune..
Hawa mabinti wa Mwanza ni hatari sana kwa kuwategeshea watu....

Mkuu umesalimikaje!?
 
yaani hata wewe unanigeuka na kunipigia upatu kwa kosa la kusingiziwa na kale kabinti ka housekeeping kenye makalio kama chungu cha kisukuma cha kupikia sato..
kabinti kenyewe kabaya vile akatamani nani.....

na huyo Elizabeth Dominic melta umbea ole wake aingie anga zangu, nitamtovuga ujinga umtoke..... LOL

Subutuuu!!! Wakati unakatongoza si ulikaona karembo??? Saiv ndo unakapiga madongo... Vipi hapo SHINYANGA GUEST hujaanza kusarandia vya hapo???!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom