BREAKING NEWS: Mzee Mtambuzi afumaniwa na binti wa housekeeping

BREAKING NEWS: Mzee Mtambuzi afumaniwa na binti wa housekeeping

Elizabeth Dominic hongera kwa kupanda cheo,kuanzia leo wewe ni senior correspondent jf udaku,mshahara dola elfu nane kwa mwezi na vocha za laki tano,mafuta lita mia kwa wiki na utalipiwa apartment masaki.
Copy: TANMO........kwa utekelezaji.
 
Last edited by a moderator:
Elizabeth Dominic hongera kwa kupanda cheo,kuanzia leo wewe ni senior correspondent jf udaku,mshahara dola elfu nane kwa mwezi na vocha za laki tano,mafuta lita mia kwa wiki na utalipiwa apartment masaki.
Copy: TANMO........kwa utekelezaji.

Hureeee......Mwenyezi Mungu anipe nini miyee........ufuska wa Mzee Mtambuzi umeniletea neema......athenkyuu Bishanga bepari la ukweee
 
Last edited by a moderator:
Mzee Mtambuzi akiwa kifua wazi, Judgement akiwa amevaa kofia, C6 akiwa nyuma ya Mtambuzi na pembeni ni waandishi wa Chitchat udaku

hapa akila kichapo ...

images
 
Last edited by a moderator:
Kutoka kulia: mzee Mtambuzi akiwa na bukta yake nyeupe huku akishambuliwa kwa kichapo na madada poa,
kushoto;maid anayesadikika kulawitiwa akiwa ameshikiliwa na charminglady

5f59e50d07L.jpg


Nilibahatika kupata kapicha kamoko... hebu ngoja niwaulize wahudumu kama walipata picha nyingine.....
 
Last edited by a moderator:
sio baba yangu Mtambuzi aiseeh mbona ni mtu mtakatifu sana,ukizingatia anaongozwa na roho mtakatifu ktk maisha yake ktk hili namtetea,usiwaletee samaki hawa wanakupaka mafuta kwa mgongo wa chupa................

we mama mbona unabalaa... umesema mtakavitu au mtakatifu?
 
Blaza hizo ni ajali za kawaida ... tatizo ni umri.....pata supu ya lisamaki tena sehemu ya kichwa, then a cold kimiminika. There after njoo huku utujuze
 
Afukuzwa hotelini, na kupigwa black list asikanyage hotelini hapo, mwenyewe adai binti alitaka kumbaka wakati alipokwenda kumtandikia kitanda.. Ahamia logde maeneo ya Pasiansi.....
More update to follow....

mamaaaa kizee cha watu cha umbuka sasa..
 
Back
Top Bottom