mimisa
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 2,511
- 1,441
Andindilile umeamkaje?
Last edited by a moderator:
Aisey Chimbuvu mi nimehuzunika sana! Na hii habari na hasa nilipopata fununu kwamba ktk kumhamisha Hotel moja kwenda nyingine mlihamisha huku kavaa taulo! Yaani tumbo wazi na taulo kwenye Tax, imeniskitisha mno!
ss kama ana deserve mi nifanyeje?...ila nimefadhaishwa na taarifa hii
Andindilile umeamkaje?
Aibuuuu.......yaani we acha tu....picha subiri zikasafishwee
kweli inasikitisha... mliokuwapo wekeni picha ya tukio au hadi gazeti litoke?
asikutishe my love manoah
Mie nawatazama tu , mmeanza kuitana na wapenzi mala hii kha! Kweli mapenzi ni sawa na utumbo ulio oza tena haufai kuliwa hata na fisi
pungza munkar honey...umeona popote nimemuita mpz?..ts u,n only u..
Mie sisemi kitu, ila unaelekea kuniuzi
Afukuzwa hotelini, na kupigwa black list asikanyage hotelini hapo, mwenyewe adai binti alitaka kumbaka wakati alipokwenda kumtandikia kitanda.. Ahamia logde maeneo ya Pasiansi.....
More update to follow....