wamenisingizia hawa mabinti, kale kasichana kalitaka kunibaka na nilipokataa, ndio kakapiga kelele na kuniletea kisirani...Jamani baba Nginaaaaaaaaaaa....!
Uwiiiiiiiiiii
wamenisingizia hawa mabinti, kale kasichana kalitaka kunibaka na nilipokataa, ndio kakapiga kelele na kuniletea kisirani...
Sitifuani na mtu, nimesha waacha waendelee na mambo yao
naijua
Kwanza nyie mmemtenda Mzee isivyo.....kaja mmemtenga mwasubiria majanga yamkute tu ndio mje kujifanya kimbele front
King Mswaki ! Mamboo?
Unakosaje komenti Mfalme mzima?
Mzee alikua anamswakisha binti wa kazi !
Hii weka mbali na watoto!!
wamenisingizia hawa mabinti, kale kasichana kalitaka kunibaka na nilipokataa, ndio kakapiga kelele na kuniletea kisirani...
Tuache bana..., unakuwa king'ang'aniiiizi.....!!!kaa pembeni tu, au ka vipi badili jina tena
Usinambie Mtambuzi alikutamani charminglady?
yaani hata wewe unanigeuka na kunipigia upatu kwa kosa la kusingiziwa na kale kabinti ka housekeeping kenye makalio kama chungu cha kisukuma cha kupikia sato..Thibitishia umma kama kweli tunakusingizia.
Mwanangu usiwasikilize hao washakunaku wakaanga mbuyu wanaowaachia wenye meno watafune..Jamani jamani!
Mwanangu usiwasikilize hao washakunaku wakaanga mbuyu wanaowaachia wenye meno watafune..
Hawa mabinti wa Mwanza ni hatari sana kwa kuwategeshea watu....
yaani hata wewe unanigeuka na kunipigia upatu kwa kosa la kusingiziwa na kale kabinti ka housekeeping kenye makalio kama chungu cha kisukuma cha kupikia sato..
kabinti kenyewe kabaya vile akatamani nani.....
na huyo Elizabeth Dominic melta umbea ole wake aingie anga zangu, nitamtovuga ujinga umtoke..... LOL