Breakup is hard to do, kuachana kusikie kwa mwenzio

Aah!mkuu mwanamke akikiri mwenyew kuwa ka cheat wala usijipe muda wa kujadiliana nae,huyo tayar keshapata mwngne huko,mpk kukwambia hivo c bahat mbaya ila amedhamiria
 
Kuna mmoja nilimpenda sijawahi penda vile ikafikia timea akaanza kuniona mimi kama vile boya ana cheat anatuma picha zake za uchi namkamata nasamehe nikawa nashindwa kumuacha

Siku moja sijui kapata jitu gani likamchanganya anakuja mara "siwezi date na wewe nakuzidi miaka miwili" we mdogo wangu na time hiyo nimemkula kinyama pamoja na dharau zake na show nilikua namuweka kinyama nikawa nambembeleza akagoma nikatulia kimya ingawa nilikua naumia sio kawaida aisee

Badae akaja tena nimsamehe tuendelee nikakubali kwa sababu kale kairak nilikua nakapenda acha kabisa ....baada ya muda nikaona tabia ni zilezile na mimi nikapiga chini na mpaka leo nilikua naona nimechelewa na hua sielewi moyo na akili vilipata vipi ule ujasiri wa kiwango kile ilikua noma sana na mpaka leo kinanisumbua kinataka kugegedwa na mimi juzi kinasema tukutane dodoma na mimi sipo huko sasa hivi na wala hakuna guts za mimi kuonana nako

Toka hapo sidhani kama ntaumia vile tena haitatokea nahisi kupata sugu moyoni ndio maana sasa hivi huyu wa sasa niko nae kwenye uhusiano mguu ndani mguu nje manake kuna dalili simuelewi na nimeanza kumuahsiria kumuacha
 
Naona kama unanisema au unanifahamu ndg
 
Naunga hoja
 
Punguza gubu na kupiga mizinga na wewe utaolewa
Hyo syo sababu mkuu
Na sko hvo ata ila tuliachanshwa kwa sababu za kikabila tu japo tulipendana Sana na hyo ndio sababu ya wazazi wake wakaamua kuntafutia mtu mwngne na kupanga mipango ya ndoa kwa haraka
 
Kuna huyu tulikuwaga friends tuu, tukaja tukawekana dudu, dah! si tukawa wapenzi tuka share share vitu kadhaa kibiashara na malengo meengi, ghafla mwenzang naona ananiambia hana amani eti turudi kuwa marafiki wa karibu kama zamani.
Nimemuitikia tuu ila naona haiwezekani, tunaweza kuwa marafiki ila sio wa karibu, nataka kumsahau na kusiwe na ukaribu, iwe simu inazungumzia buiashar tuu na sio mengine ila kitanzi ni hizi business, ambazo tulishare....
 

Pole kwa mateso bila chuki,umeteseka sana aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…