Breakup ya kwanza ilikuaje?

Anazingua dogo anajua wote tunashobokea mapenzi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Dah, nimekuwa dogo tena๐Ÿ˜ž!!, mbona ghafla sana isee , haya bibi sijui mama, halafu unakuta kitoto cha tisini au elfu mbili unaniita mzee mzima DOGO๐Ÿ‘จ๐Ÿฝโ€๐Ÿฆณ, JF๐Ÿ™Œ๐Ÿป๐Ÿ˜
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ we mi age go, nimezaliwa mwaka mmoja na JK wa kwanza ohh.!!

Mapenzi hayana udogo kikubwa kuweza kuyacontrol basi.!
 
Haya!!,Mshindi wewe๐Ÿ‘๐Ÿผ, kwa umri wangu ni kwamba โ€œMKUBWA UKIVULIWA NGUO CHUTAMAโ€ sijui miaka yenu hii ni vipi??,
 
๐Ÿ˜œ umenipa ushindi wa mezani?? Mi siutaki ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Poor Brain dronedrake
 
Reactions: EEX
Poor Brain dronedrake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ