Breakup ya kwanza ilikuaje?

Breakup ya kwanza ilikuaje?

Dah, nimekuwa dogo tena😞!!, mbona ghafla sana isee , haya bibi sijui mama, halafu unakuta kitoto cha tisini au elfu mbili unaniita mzee mzima DOGO👨🏽‍🦳, JF🙌🏻😁
😂😂😂 we mi age go, nimezaliwa mwaka mmoja na JK wa kwanza ohh.!!

Mapenzi hayana udogo kikubwa kuweza kuyacontrol basi.!
 
😂😂😂 we mi age go, nimezaliwa mwaka mmoja na JK wa kwanza ohh.!!

Mapenzi hayana udogo kikubwa kuweza kuyacontrol basi.!
Haya!!,Mshindi wewe👏🏼, kwa umri wangu ni kwamba “MKUBWA UKIVULIWA NGUO CHUTAMA” sijui miaka yenu hii ni vipi??,
 
Mi wasichana wamtaani kwetu walikuwa wanadai bora wakae na magazeti kuliko kuwa na mahusiano na mimi (bonge la komwe halafu nilikuwa nimetitia,kafupii ,keusii).Hata huyu nilienae sasa hivi sijui kanipendea nini.Sina break up yoyote kwa sababu nilikuwa sitongozi .
Poor Brain dronedrake
 
  • Kicheko
Reactions: EEX

Mi nliumia ile mara ya kwanza kupenda nlisota sio powa nlikuwa nalala usingizi flan ambao unakua umelala lakini Mtu akikuita unaitika, vinywaji vyote vilibadilika ladha mdomoni Mwangu, kila Kitu nliona kero hata Mkono wangu ukigusa shingo nliona kama nakereka usingizi hamna kbs
 
Back
Top Bottom