Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Zote ziliishia kwenye pesa bobPoa mwanangu utamalizana na SIR GOD huko umweleze ulizipeleka wapi na yeye alikupa ulivyokuja duniani🤣🤣🙌🏻
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zote ziliishia kwenye pesa bobPoa mwanangu utamalizana na SIR GOD huko umweleze ulizipeleka wapi na yeye alikupa ulivyokuja duniani🤣🤣🙌🏻
👍🏽Zote ziliishia kwenye pesa bob
mkuu hiyo kauli ya huyo demu wako nimesoma karbu mara tatu na namimi niliambiwa hivyo na mtoto wa kichaga nilikuwa nimekufa nakuoza kwake sema mfukoni sikuwa njema nilitemwa mbaka Leo Bado namkumbuka naona wakulungwa wanamfaidi huko asaiv,..Mimi baada ya kuachwa na mwanamke wa pili tena ambaye tumefanya mengi halafu akasema hakuna anachojivunia aiseee lile pigo sitalisahau. Mpaka sasa naweza kuja kuoa ila itakua ngumu sana kumtendea mwanamke kama nilivyojimaliza mwanzo.
huyo demu hamjaonana tenaGhafla akaniambia via sms kuwa yuko lodge na ampendaye,nikadhani utani nikapiga simu akapokea afu akampa njemba ikaniambia "stop bothering my queen"afu na yeye akaniamba mazoea yafe,just ghafla tu na hatukuwa na tofaut,aisee nikaenda kumweleza rafik yangu,alisikitika sana maana nilikua mnyonge vibaya mno,ningezubaa ningekufa kwa mawazo na njaa,mazoez yakaanza kwa kasi,gym na mimi afu na hiphop hardcore nikamsahau yule manzi,tangu hapo sijawah kuwa na mwanamke mmoja japo nimeoa ila vya pembeni sikosi!
Aisee hayo maumivu hayaelezeki mwamba hakika ulipitia kipindi kigumu sana dah.Nilipokonywa na boss wa wizara ndugu yangu mambo ya kuhamia Dodoma hayo
Niliingia kwenye mahusiano nikiwa mdogo, kwa kifupi nilizama kwa jamaa, ghafla bin vuup, jamaa ananimwaga tena ananitema kavu kavu.
[emoji24][emoji24][emoji24] nusu watangaze coca ameanza uzezeta km sio undondocha.
Ashukuliwe kijana M, alikuja kwangu km ametumwa kwa lengo maalumu, alinibadilisha fikra, mtazamo, mawazo, na akanionesha uhalisia wa maisha ya mahusiano, akanijenga msimamo, na akafundisha maisha namna yalivyo.
Popote ulipo M, ubarikiwe zaidi na zaidi, natamani 1 day tuonane ili nikushukuru kwa yote ulioni tendea, bila wee Leo nisingekua mie na sio hapa nilipo.
....mapenzi ya kweli yapoo....
Hii kali, kwann ulinyoa nywele? Na kwann ulihama nchi?Dah nipeni maji kwanza ninywee ili nipate walahu nguvu ya kusimulia lol.
Kwa ufupi tu...!
Kwanza ilikua ghafla, Nilijipata na anxiety [emoji22] nilinyoa nywele zangu.Nikaomba likizo ya mda job..nikabeba vyeti,passport na nguo chache huyoo nikahama nchi kwa mda.To be continued [emoji41]
nilikutana nae arusha 2yrs after,by then kumbe hata hawakudumu jamaa alikua playboy akamla na kum~dump,nikampa lunch ya nguvu then cowboy wa kisukuma nikateleza mbele,alimwambia rafik yangu huwa anajuta kwan alinidhulum penzi,since then hatujawahi kutana wala kuongea zaid huwa ananiulizia pitia washikaji!huyo demu hamjaonana tena
Na yeye pia alikua mchaga sema jambo naloshukuru siku aloyoniacha ndo siku ambayo nilipata kazi yenye uhafadhali angalau maisha si kama yale.mkuu hiyo kauli ya huyo demu wako nimesoma karbu mara tatu na namimi niliambiwa hivyo na mtoto wa kichaga nilikuwa nimekufa nakuoza kwake sema mfukoni sikuwa njema nilitemwa mbaka Leo Bado namkumbuka naona wakulungwa wanamfaidi huko asaiv,..
Pole man.mkuu hiyo kauli ya huyo demu wako nimesoma karbu mara tatu na namimi niliambiwa hivyo na mtoto wa kichaga nilikuwa nimekufa nakuoza kwake sema mfukoni sikuwa njema nilitemwa mbaka Leo Bado namkumbuka naona wakulungwa wanamfaidi huko asaiv,..
Wanawake[emoji119]Dada yangu mmoja alikuwa na jamaa yake tangu form 2 . Kufika chuo masters akamtambulisha kwa wazee wakamkubali. Ikapangwa mipango harus ikaandaliwa. Mwez mmoja kabla Dada akamwambia mzee wake ameghairi kuolewa na jamaa. Mzee pressure ikapnda akamfukuza home. Bint kampata mshikaji wake katoka marekan kusoma. Kamwacha jamaa bonge ya mshikaji. Mshikaji ilibid ndugu zake wampeleke cjui wapi apunzishe akili then sister katafuta watu mjin hapa ndoa ikafungwa hakuna aliyehudhuria isipokuwa mimi kwa kumuonea huruma ila kilichompata ni Mungu anajua. Sema baba yake kama alijua akaacha nyumba moja akasema mtu flan huko aliko life likimshinda nyumba yake hii. Na yule mzee alikuja kufa baada ya mwaka.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaan acha kabisaaa,[emoji1787] polesana so sad story, jamaa alikubwaga kama mchele ili kuku wakudonoe?[emoji1787]
Anyways ilipaswa upitie hayo kujijenga ktk tasnia ya mahusiano.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee jichanganye hvyo hivyo. Kitakukuta kitu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unanifanya nacheka mpk mbwa wanapiga kelele ujue!! Wanajua nimevamiwa ndani nini?? [emoji23][emoji23][emoji23]
Hamna huyu nikimzaa anatunzwa vizuri hebu tulia baba yake sio km wamatumbi wanaotelekeza watoto bhana
Kama kawaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Walie buyu ss hivi [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguu.Oya ntakuzingua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mi sijawahi kupigwa tukio mwanangu, hayo mambo siyapi kipaumbele..!!
Mimi ukisema it’s over fresh pita kushoto nipite kulia. Kitu kinanipea stress MONEY [emoji383]peke yake!!
Hawa viumbe waliojaa mpk wengine wanaamua kuwa mashoga hawaniumizi kichwa bob [emoji23]
😂😂😂😂 Acha bhasi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee jichanganye hvyo hivyo. Kitakukuta kitu.
Woiiiiiih