Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakielewa hawa kesho wanazaliwa wajinga wengine, kwahiyo waninga hawawezi kuishaSame day, different shit.
Kutoka Deci, D9, Qnet & co bado watanzania hawajifunzi..
Acha waendelee kuliwa
Na je wakitoa leseni hakuna ufuatiliaji kuona kama biashara iliyoombewa leseni ndiyo inayofanyika?Hata matangazo ya ITV , ya hao Kalynda - yalikuwa hayaonekani kwa BRELA ?
Yawezekana ni mradi wa kigogo serikalini , kwa sababu kampuni ina leseni zaidi ya 3 , zote zimetoka serikalini na zinaoneshwa public na pili matangazo ya yalikuwa wimbo ITV
Sio kazi ya brela kusaka waalifu bali nikutoa ushirikiano kama walivyofanyaBrela wanaibuka kusema hayo baada ya watu kulizwa. BRELA walikuwa wapi siku zote wakati Kalynda wakipiga promo na watu wakijiunga?
VIJANA WAPUMBAV WATAPELIWA NA IDEA DEBATOR ....Igp😅😅😅Umeisahau Idea Debater
Unaongea simple coz hujaliwa😅Tambua itv n kampun ya biashara wao Kaz yao n kupokea matangazo yaliyolipiwa
Jukumu la kujua biashara n halali au siyo halali si lao zpo mamlaka zenye jukumu Hilo
Nadhan watanzania uelewa wetu n mdogo Sana kuhusu majukumu ya vyombo mbalimbali vya serikal na binafsi
Lakin pia alert ilitolewa humu watu hawakuelewa kitu
Mambugila nchi hii hawawez kuisha
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
BRELA ni wanufaika wa kwanza kabisa. Huwezi kutoa leseni bila kufuatilia matumizi ya leseni kama ni yale yaliyokubalika nao.Hivi vidude ni vya watu wakubwa
Ni mamlaka gani inajua biashara ni halali na sio halali?Tambua itv n kampun ya biashara wao Kaz yao n kupokea matangazo yaliyolipiwa
Jukumu la kujua biashara n halali au siyo halali si lao zpo mamlaka zenye jukumu Hilo
Nadhan watanzania uelewa wetu n mdogo Sana kuhusu majukumu ya vyombo mbalimbali vya serikal na binafsi
Lakin pia alert ilitolewa humu watu hawakuelewa kitu
Mambugila nchi hii hawawez kuisha
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kuna wajinga na wpmbv wengi badoSame day, different shit.
Kutoka Deci, D9, Qnet & co bado watanzania hawajifunzi..
Acha waendelee kuliwa
Namsikitikia yule dada whatsapp nilimwambia kalynda ni pyramid scheme akaniambia atakufa ndani ya kalynda, 😄😄😄😄😄leo hii nahisi anakufa na preshaWakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) imesema leseni ya kampuni iitwayo Kalynda E-Commerce Limited iliyotolewa Juni 21, 2022 ni kwa ajili ya uuzaji wa jumla wa vifaa vya kielektroniki na mawasiliano pamoja na ufanyaji wa biashara ya kiteknolojia ya kimataifa mtandaoni.
BRELA imesema kumekuwa na taarifa zinazoleta taharuki kuhusu kampuni hiyo kufanya biashara ya upatu ya kukusanya fedha kutoka kwa wananchi kwa ahadi ya kupata faida ndani ya muda flani kinyume na bidhaa au huduma iliyoombewa leseni.
Taarifa ya BRELA imesema leseni ya biashara ya Kalynda E-Commerce Limited inamruhusu kufanya biashara ya masoko na mauzo ya bidhaa kwa njia ya mtandao pekee, hivyo ufanyaji wa biashara kinyume na leseni iliyotolewa ni kosa la jinai chini ya kifungu cha 19 cha sheria ya leseni za biashara, Sura Na. 208.
Aidha, Wakala imetoa angalizo kwa umma kuwa kabla ya kuingia kwenye mahusiano ya kibiashara na kampuni yoyote ni vema kupata uthibitisho wa uhalali na uwepo wa kampuni hiyo pamoja na biashara husika kutoka BRELA na mamlaka nyingine za Serikali.
View attachment 2384974
Swahili Times.
Brela wanaibuka kusema hayo baada ya watu kulizwa. BRELA walikuwa wapi siku zote wakati Kalynda wakipiga promo na watu wakijiunga?
Kwa hio naweza kwenda kutangaza biashara za.magendo ITV kisa wanafanya biashara za matangazo?
Haya tuimbe woteee....Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) imesema leseni ya kampuni iitwayo Kalynda E-Commerce Limited iliyotolewa Juni 21, 2022 ni kwa ajili ya uuzaji wa jumla wa vifaa vya kielektroniki na mawasiliano pamoja na ufanyaji wa biashara ya kiteknolojia ya kimataifa mtandaoni.
BRELA imesema kumekuwa na taarifa zinazoleta taharuki kuhusu kampuni hiyo kufanya biashara ya upatu ya kukusanya fedha kutoka kwa wananchi kwa ahadi ya kupata faida ndani ya muda flani kinyume na bidhaa au huduma iliyoombewa leseni.
Taarifa ya BRELA imesema leseni ya biashara ya Kalynda E-Commerce Limited inamruhusu kufanya biashara ya masoko na mauzo ya bidhaa kwa njia ya mtandao pekee, hivyo ufanyaji wa biashara kinyume na leseni iliyotolewa ni kosa la jinai chini ya kifungu cha 19 cha sheria ya leseni za biashara, Sura Na. 208.
Aidha, Wakala imetoa angalizo kwa umma kuwa kabla ya kuingia kwenye mahusiano ya kibiashara na kampuni yoyote ni vema kupata uthibitisho wa uhalali na uwepo wa kampuni hiyo pamoja na biashara husika kutoka BRELA na mamlaka nyingine za Serikali.
View attachment 2384974
Swahili Times.
Watzn wanapenda kitonga,acha wapigwe hadi akili zikae sawa.Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) imesema leseni ya kampuni iitwayo Kalynda E-Commerce Limited iliyotolewa Juni 21, 2022 ni kwa ajili ya uuzaji wa jumla wa vifaa vya kielektroniki na mawasiliano pamoja na ufanyaji wa biashara ya kiteknolojia ya kimataifa mtandaoni.