Pascal Ndege
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 2,977
- 1,897
Kufungua kampuni ilikuwa kero miaka ya nyuma lakini naona kero imerudi licha ya kuwa kuna mfumo rahisi kabisa wa kusajili kampuni.
Yaani business name inachukua hadi mwezi mmoja kama umejaza kila kitu sawa. Kuna Tabia ukikosea tu review inakuwa haraka kabisa na unaambiwa kurekebisha, lakini kama kila kitu kipo sawa unawekwa pending mpaka uende BRELA utoe chochote ndio unapata certificate ndani ya muda.
Kama kila kitu kipo online, kwanini inachukua mwezi kupata certificate? Mnatengeneza kero ya watu kusafiri umbali mrefu kuja kufuatilia business name tu!