Pascal Ndege
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 2,977
- 1,897
Je, Nini kifanyike basi???Kufungua kampuni ilikuwa kero miaka ya nyuma lakini naona kero imerudi richa ya kuwa Kuna mfumo rahisi kabisa wa kusajili kampuni.
Yaani business name inachukua hadi mwezi mmoja kama endapo umejaza kila kitu Sawa.
Kuna Tabia ukikosea tu review inakuwa haraka kabisa na unaambiwa kurekebisha.
Lakini kama kila kitu kipo sawa unawekwa pending mpaka uende brela utoe chochote ndio unapata certificate ndani ya muda.
Kama kila kitu ni kipo online kwanini inachukua mwezi kupata certificate? Mnatengeneza kero ya watu kusafiri umbali mrefu tu Kuja kufuatilia business name tu.
Kufungua kampuni ilikuwa kero miaka ya nyuma lakini naona kero imerudi richa ya kuwa Kuna mfumo rahisi kabisa wa kusajili kampuni.
Yaani business name inachukua hadi mwezi mmoja kama endapo umejaza kila kitu Sawa.
Kuna Tabia ukikosea tu review inakuwa haraka kabisa na unaambiwa kurekebisha.
Lakini kama kila kitu kipo sawa unawekwa pending mpaka uende brela utoe chochote ndio unapata certificate ndani ya muda.
Kama kila kitu ni kipo online kwanini inachukua mwezi kupata certificate? Mnatengeneza kero ya watu kusafiri umbali mrefu tu Kuja kufuatilia business name tu.
Mfumo ni rahisi sana. I think hao watu wapo kufanya ukilitimba na kutengeneza mianya ya rushwa.Pole Sana
Jitahidi utafute watu wanaojua mfumo Kabla ya kulalamika....
Hakuna Taasisi iliyoonyoka kama brela
Delays Zingine zinatokana na watuma maombi kushindwa kuelewa mfumo....
Narudia pole sana
Habari, maombi ya usajili wa jina jipya la biashara hufanyiwa kazi ndani ya siku mbili za kazi, tunaomba namba ya ombi lako (tracking number) ambalo bado halijafanyiwa kazi kwaajili ya msaada zaidi.Kufungua kampuni ilikuwa kero miaka ya nyuma lakini naona kero imerudi licha ya kuwa kuna mfumo rahisi kabisa wa kusajili kampuni.
Yaani business name inachukua hadi mwezi mmoja kama umejaza kila kitu sawa. Kuna Tabia ukikosea tu review inakuwa haraka kabisa na unaambiwa kurekebisha, lakini kama kila kitu kipo sawa unawekwa pending mpaka uende BRELA utoe chochote ndio unapata certificate ndani ya muda.
Kama kila kitu kipo online, kwanini inachukua mwezi kupata certificate? Mnatengeneza kero ya watu kusafiri umbali mrefu kuja kufuatilia business name tu!
Wamekuja wenyewe haya sasaHabari, maombi ya usajili wa jina jipya la biashara hufanyiwa kazi ndani ya siku mbili za kazi, tunaomba namba ya ombi lako (tracking number) ambalo bado halijafanyiwa kazi kwaajili ya msaada zaidi.
Nimepata business name kwa ndani ya week Moja. Nilivyoandika hapa siku hiyo hiyo yakafanyiwa kazi.Habari, maombi ya usajili wa jina jipya la biashara hufanyiwa kazi ndani ya siku mbili za kazi, tunaomba namba ya ombi lako (tracking number) ambalo bado halijafanyiwa kazi kwaajili ya msaada zaidi.
mimi nilisajili jin la biashara nilitumia siku 3 tu aisee,na sina mtu yeyote BRELA walasikumtumia mtu yeyote.Hongereni sana BRELA.mfumo ni mwepesi sana ni vile unaitajika kuwa na taarifa za kutosha na kuufahamu mfumo unafanyaje kazi inatosha.HONGERENI SANA BRELA
Tunashukuru brella kwa usikivu wenu,nilikuwa nishahuzunika Sana kwa ChallengeHabari, maombi ya usajili wa jina la biashara hufanyiwa kazi ndani ya siku mbili za kazi baada ya kukamilisha taarifa zote zinazohitajika kwa mujibu wa sheria.
Imeendikwa na mwanasheria mwenye Nia njema tu, toeni ufafanuzi na Yale ya kurekebisha rekebisheni plsTunashukuru brella kwa usikivu wenu,nilikuwa nishahuzunika Sana kwa Challenge
Ninyi ni taasisi muhimu Sana kwa ustawi wa sekta binafsi ambayo ndo engine ya uchumi wa taifa letu tafadhali lisaidieni Taifa ,
Tafadhali pitieni na malalamiko humu ili muwasaidie watanzania
BRELA inakimbiza wawekezaji
BRELA INAKIMBIZA WAWEKEZAJI. Na Bashir Yakub, WAKILI. +255 714 047 241 Mfumo kama mfumo wa kusajili kampuni ni mzuri na unarespond haraka ila watendaji bado kabisa. Nitatoa mfano na sina shaka kila mdau ambaye anasajili ama amewahi kusajili kampuni au biashara kupitia mfumo mpya wa Brela...www.jamiiforums.com
Tunashukuru brella kwa usikivu wenu,nilikuwa nishahuzunika Sana kwa Challenge
Ninyi ni taasisi muhimu Sana kwa ustawi wa sekta binafsi ambayo ndo engine ya uchumi wa taifa letu tafadhali lisaidieni Taifa ,
Tafadhali pitieni na malalamiko humu ili muwasaidie watanzania
BRELA inakimbiza wawekezaji
BRELA INAKIMBIZA WAWEKEZAJI. Na Bashir Yakub, WAKILI. +255 714 047 241 Mfumo kama mfumo wa kusajili kampuni ni mzuri na unarespond haraka ila watendaji bado kabisa. Nitatoa mfano na sina shaka kila mdau ambaye anasajili ama amewahi kusajili kampuni au biashara kupitia mfumo mpya wa Brela...www.jamiiforums.com
Itakuwa labda walijisahauNimepata business name kwa ndani ya week Moja. Nilivyoandika hapa siku hiyo hiyo yakafanyiwa kazi.
Mkuu je Kuna malipo katika kusajili jina la biashara?mimi nilisajili jin la biashara nilitumia siku 3 tu aisee,na sina mtu yeyote BRELA walasikumtumia mtu yeyote.Hongereni sana BRELA.mfumo ni mwepesi sana ni vile unaitajika kuwa na taarifa za kutosha na kuufahamu mfumo unafanyaje kazi inatosha.HONGERENI SANA BRELA
Gharama za kusajili Business name ni Shilingi 20,000 ambapo 5000 ni Ada ya mwaka na 15000 ni Ada ya usajili.Na kila mwaka utapaswa kulipia Shiling 5000.Mkuu je Kuna malipo katika kusajili jina la biashara?