ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Hiyo elimu itamsaidia sana kujipanua kikazi/kibiashara. Tusisome ili kuwa chini ya wenzetu.Hio pesa aliyosomea digrii na master angekuwa na worksop nzuri tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo elimu itamsaidia sana kujipanua kikazi/kibiashara. Tusisome ili kuwa chini ya wenzetu.Hio pesa aliyosomea digrii na master angekuwa na worksop nzuri tu.
Ili asimamie vizuri biashara zakeAlisoma masters ila anapenda bidhaa za mbao, sasa naster ya usimamizi wa fedha aliisoma kwa nini? Amekosa kazi ndio kaupenda uselemala,je angepata kazi kwa digrii yake angeenda VETA?
Wazo la kimaskini sana hiliHio pesa aliyosomea digrii na master angekuwa na worksop nzuri tu.
Elimu sio ulemavu, unafahamu hilo?Alisoma masters ila anapenda bidhaa za mbao, sasa naster ya usimamizi wa fedha aliisoma kwa nini? Amekosa kazi ndio kaupenda uselemala,je angepata kazi kwa digrii yake angeenda VETA?
Maisha ya kibongo kipaji kinaonekana ukubwani inawezekana ilikuwa afanye kabla lakini wazazi wakamwambia soma sasa kasoma mpaka level ya juu ajira hakuna Sasa kapata sababu ya kutekeleza ndoto yake hata hivyo elimu aliyonayo itamsaidia kwenye hiyo fani yake.Huyo ana matatizo huwezi sema eti unapenda useremala,eti nibkitu alichokipenda tangu zamani yeye kakosa ajira tu
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Ndio hivyo sasa kawa Fundi Seremala na anapata mitonyo life linasonga...hayo mengine hayana maana sana...kama alisoma ili kuongeza uelewa au kupata ajira au alisoma tu kwasababu alikuwa anafaulu...haijalishi..Alisoma masters ila anapenda bidhaa za mbao, sasa naster ya usimamizi wa fedha aliisoma kwa nini? Amekosa kazi ndio kaupenda uselemala,je angepata kazi kwa digrii yake angeenda VETA?
Amepoteza muda na pesa sana tu usichukulie poa. Muda ni mali, imagine angemaliza form 6tu aanze kujikita katika huo ufundi leo angekuwa master wa assets ila sasa hivi bado anajifunza na atatumia muda mwingi tena kujifunza maana capentry nayo ni bahari kama hio BBA ilivyo bahari.Ndio hivyo sasa kawa Fundi Seremala na anapata mitonyo life linasonga...hayo mengine hayana maana sana...kama alisoma ili kuongeza uelewa au kupata ajira au alisoma tu kwasababu alikuwa anafaulu...haijalishi..
Hivi ulichokiandika unakijua kweli ? Yeye anachofanya hapo ni ujasiriamali/biashara. Au unachojua wewe biashara ni kwenda China kuleta mzigo ?Ameandikwa kwa sababu amemaliza master vipi wale waliomaliza la7 na kwenda veta kujifunza huo ufundi, si watakuwa mbali zaidi kiufundi kuliko huyo mdada.
Huyo dada ameshindwa kuibadili digrii ya BBA kuwa pesa mpaka kaamua kurudi veta kozi ya la7.
Vocational skill anaweza kujifunza hata ambae hajasoma shule kabisa, sio mchongo wa maana.
Amesoma kozi za ujasilia mali ameshindwa kuwa mjasiliamali kaamua kuwa fundi hivyo wajanja watamtumia kupiga pesa.
Yeye alitakuwa afanye business sio ufundi hatotoboa.
Labda umuulize Pascal MayallaHivi hua mnaona uteuzi ndo level ya juu kabisa ya Maisha?
"veta kozi ya la saba.." sasa ulitaka akae tu asikilizie ajira tu kwasababu ana masters?..binti ka analyse mambo kaona vocational training ni dili kuliko hayo madude mengine mnayomezeshwa kwenye vyuo vikuu...na mtonyo ana piga..Ameandikwa kwa sababu amemaliza master vipi wale waliomaliza la7 na kwenda veta kujifunza huo ufundi, si watakuwa mbali zaidi kiufundi kuliko huyo mdada.
Huyo dada ameshindwa kuibadili digrii ya BBA kuwa pesa mpaka kaamua kurudi veta kozi ya la7.
Vocational skill anaweza kujifunza hata ambae hajasoma shule kabisa, sio mchongo wa maana.
Amesoma kozi za ujasilia mali ameshindwa kuwa mjasiliamali kaamua kuwa fundi hivyo wajanja watamtumia kupiga pesa.
Yeye alitakuwa afanye business sio ufundi hatotoboa.