MESHACK WARIOBA
JF-Expert Member
- Mar 29, 2017
- 1,068
- 1,174
Has hiyo Ada ya Masters, Masters ya ESAMI sio mchezo;Hio pesa aliyosomea digrii na master angekuwa na worksop nzuri tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Has hiyo Ada ya Masters, Masters ya ESAMI sio mchezo;Hio pesa aliyosomea digrii na master angekuwa na worksop nzuri tu.
Hahaha ndiyo hapo ukimaliza vitabu vya mfecane war na maji maji war, unaenda VETATuache fundishana mfecane war sijui Archimedes principleView attachment 2078218
Akina MOE walienda kusomea management, huyo kamaliza management kaenda ufundi. Kina Moe hawakusoma wawe mafundi umeme viwandani mwao.Wee nawee 🤔
Mambo ya interior designing ni taaluma za watu etii , tena ni biashara kubwa. Tatizo wewe unawaza padogo na exposure huna unaonekana, we unakomalia kumfananisha na mafundi wa keko tatizo.
Taaluma yake ya biashara itamsaidia kukuza biashara yake, kuleta ubunifu n.k
Kuna stage mfanyabiashara hata Kama ni darasa la Saba atahitaji elimu tu ili biashara yake ikue zaidi. Hata Kama hajasoma itabidi aajiri watu wenye taaluma zao.
Ndio maana familia za wakina bakheresa na dewji ziliwapeleka watoto wao shule na vyuo vya gharama ili waje wasimamie biashara. Sasa kwanini wao hawakupotezea elimu kwa watoto wao
Hizo biashara na kampuni kubwa unazoziona zimekuzwa na kusimamiwa na wasomi. Hata Kama mmiliki ni std seven Kuna stages za biashara inabidi utafute watu na utaalamu wao wakushauri n.k amabao ni wasomi pia, wewe std seven unabaki Kama mbeba maono na kuangalia mambo yanaendaje.
Wasomi kinachowafelisha ni uoga wa kuanzia chini na kutake risk tu sio kwamba hawana akili msiwadharau ndio maana std seven wanawategemea kusimamia na kuwaendeshea biashara na kampuni zao.
Angekuwa na nia kweli angesoma diploma ya ufindi yeye akaenda BCOM halafu akachange gia angan.Ni pale unapowekeza kwenye Elimu kwa gharama kubwa...baadae unagundua umekosea uwekezaji
Unajuaje umekosea kabla ya kukosea kwanza?lazima ukosee ndipo ufanye marekebisho,wengine kweli wanafanikiwa kuanza na passion zao tangu wakiwa wadogo,mazingira yanawasapoti,Africa tunaanza kupata passion baada ya kutoka kwenye mifumo rasmi ya Elimu,Angekuwa na nia kweli angesoma diploma ya ufindi yeye akaenda BCOM halafu akachange gia angan.
Miaka sita ukiwakeza kwenye technical skill unakuwa nondo vibaya unaweza unda hata computer au ndege.
Yeye alipenda biashara amegundua kuwa atakuwa anasimamia biashara za watu.
Binafsi mtu aliesoma course za sayansi akienda veta ajiongezee ujuzi simshangai maana hayo ni maeneo yake ya kujidai ila wa BCOM au Sociology atakuwa amepuyanga vibaya.
Ulikosa information ! hio sikatai.Unajuaje umekosea kabla ya kukosea kwanza?lazima ukosee ndipo ufanye marekebisho,wengine kweli wanafanikiwa kuanza na passion zao tangu wakiwa wadogo,mazingira yanawasapoti,Africa tunaanza kupata passion baada ya kutoka kwenye mifumo rasmi ya Elimu,
Si passion zote zinazaliwa mwanzoni tu katika utoto ,mimi kuna maeneo nimekuja kuwa interested sana baada ya kupata taarifa mitandaoni Kwa kutazama tu YouTube videos,documentary na kusomasoma makala , nikiwa nishamaliza chuo siku nyingi,
Na natamani Kwa moyo wote niingie huko ,lakini katika kitu nimekuja gundua ni rahisi kusonga mbele ni kuwekeza maarifa katika KUJUA vitu vingi haijalishi uko na umri Gani , na umesoma nini kwenye diploma au degree ,maarifa ni FULFILLING quest ya ubongo.
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Hakuna maximum age ya kufaham,(kujua),popote waweza kuanza na Kwa umri wowote na ukafika ,maisha sio BLACK and WHITE kama unavyotaka kuyaweka hapa ,kwenye maisha hakuna set of rules kwamba lazima ufanye hivi tu ndio ufike pale ,yaani unaweza ukapiga kakona kidogo tu kwenye choices zako kakakupeleka mahala hujawahi kudhani ,nawafaham watu waliopata nafuu ya maisha Kwa kozi ya miezi 3 kuliko degree ya miaka mitano ilivyowapa ,Ulikosa information ! hio sikatai.
Binafsi niliweka passion kwenye jambo nalolipenda na nililipigania mpaka kulipata.
Kukosa jambo kwa ujinga si jambo zuri ola kukosa jambo kwa kuwa huna uwezo wa kitaaluma au pesa is not your fault.
Passion hujengwa kuanzia sekondari hasa miaka niliokua mimi.
Lakini kuna theory of career development, hizo theory zimepropose sababu nyingi za watu ku develop their career.
Mojawapo ni kwamba career development is not static but dynsmic, ie people change their career due to different reason.
Lakini ile career ya kwanza huwa ndio chaguo la mtu alilolilenga kwa muda mrefu.
Huwezi nishawishi kuwa mtu amalize hadi form six bado hajui ndoto yake. Kama darasa zima mnasoma tu hamjadili fani mbalibali za kujiunga baada ta kuhitimu basi basi hamkuwa serious na mlikuwa mna (vavuum).
Career development is a process na inajengwa taratibu na walimu, wazazi, ndugu, majirani, marafiki magazeti, vitabu, hadithi mitandao(siku hizi).
Wewe kuja kujua career ukubwani sio exchuse bali ni uzembe wako tu.
Jitahidi uwaongoze ndugu zako na watoto wako wasikosee kama wewe japo sitaki kukuamini sana.
Halafu usichanganye vipato vya kazi na passion.
Remember the maximum age to know your passion ni miaka 35.
Max age to know your talent.Hizo ni tafiti sio mimi, kama unabishana nazo sawa nawe inabidi uje na tafiti zako zinazoonesha watu waliogundua vipaji vyao wakiwa na miaka 35+ na wakafanikiwa.Hakuna maximum age ya kufaham,(kujua),popote waweza kuanza na Kwa umri wowote na ukafika ,maisha sio BLACK and WHITE kama unavyotaka kuyaweka hapa ,kwenye maisha hakuna set of rules kwamba lazima ufanye hivi tu ndio ufike pale ,yaani unaweza ukapiga kakona kidogo tu kwenye choices zako kakakupeleka mahala hujawahi kudhani ,nawafaham watu waliopata nafuu ya maisha Kwa kozi ya miezi 3 kuliko degree ya miaka mitano ilivyowapa ,
Mwisho kabisa hutakiwi kuniamini kama ulivyosema ,,I AM NOT A PROPHET.
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
What if kesho na keshokutwa akawa na kampuni kubwa yenye revenue za kushatoAngekuwa na nia kweli angesoma diploma ya ufindi yeye akaenda BCOM halafu akachange gia angan.
Miaka sita ukiwakeza kwenye technical skill unakuwa nondo vibaya unaweza unda hata computer au ndege.
Yeye alipenda biashara amegundua kuwa atakuwa anasimamia biashara za watu.
Binafsi mtu aliesoma course za sayansi akienda veta ajiongezee ujuzi simshangai maana hayo ni maeneo yake ya kujidai ila wa BCOM au Sociology atakuwa amepuyanga vibaya.
Hata wale wasio na master tayari wapo wenye kampuni, hivyo kuwa na kampuni sio kwa sababu ya kuwa master ya BBA ingekuwa hivyo kampuni zingekuwa nyingi sana maana wenye BBA ni wengi sana.What if kesho na keshokutwa akawa na kampuni kubwa yenye revenue za kushato
Je hio bcom yake haita tumika ku manage hio biashara
Usiwe unaangalia hapa hapa tu angslia na mbele
Sasa utakuaje designer na hujui fundi anatakiwa afanye nini ? Lazima uwe na basics ili umueleze na kumuelekeza fundi nini unataka kitoke.Akina MOE walienda kusomea management, huyo kamaliza management kaenda ufundi. Kina Moe hawakusoma wawe mafundi umeme viwandani mwao.
Huyu mdada kama kweli ana master alitakiwa afanye biashara ya assets sio awe fundi. Interior design na fundi ni vitu viwili tofauti designer na fundi ni watu wawili tofauti na ni skills tofauti zinazofanya kazi pamoja.
Dio kila fundi ni designer na sio kila designer ni fundi.
Sio kila engineer ni fundi. Sio kila scientist ni fundi.
Halafu carpenter na interior design ni watu wawili tofauti.
Interio designer wanafanya mpaka mwenekano wa ndege,gari,train, meli.
Selmala anaishia nyumbani na ofisini basi akizidi hapo huyo atakuwa civil au mechanical engineer.
Uselemala ni low skill job aka vocational skill. Fani hii iliandaliwa kwa watu wa kawaida wasio na iq kubwa lakini inaweza kuwa part/ subset ya engineer in higher learning.
Msinilazimishe niichukulie kama fani nzito kama engineering, hio ni mahususi kwa drs7 na form four failure.
Kwahiyo mtu ukisoma course za biashara maana yake Akasimamie biashara za watu ? Hii imeendikwa wapi.Angekuwa na nia kweli angesoma diploma ya ufindi yeye akaenda BCOM halafu akachange gia angan.
Miaka sita ukiwakeza kwenye technical skill unakuwa nondo vibaya unaweza unda hata computer au ndege.
Yeye alipenda biashara amegundua kuwa atakuwa anasimamia biashara za watu.
Binafsi mtu aliesoma course za sayansi akienda veta ajiongezee ujuzi simshangai maana hayo ni maeneo yake ya kujidai ila wa BCOM au Sociology atakuwa amepuyanga vibaya.
Wee nawe ... tatizo umekariri Sana yaani umezoea kumeza madesa..Ulikosa information ! hio sikatai.
Binafsi niliweka passion kwenye jambo nalolipenda na nililipigania mpaka kulipata.
Kukosa jambo kwa ujinga si jambo zuri ola kukosa jambo kwa kuwa huna uwezo wa kitaaluma au pesa is not your fault.
Passion hujengwa kuanzia sekondari hasa miaka niliokua mimi.
Lakini kuna theory of career development, hizo theory zimepropose sababu nyingi za watu ku develop their career.
Mojawapo ni kwamba career development is not static but dynsmic, ie people change their career due to different reason.
Lakini ile career ya kwanza huwa ndio chaguo la mtu alilolilenga kwa muda mrefu.
Huwezi nishawishi kuwa mtu amalize hadi form six bado hajui ndoto yake. Kama darasa zima mnasoma tu hamjadili fani mbalibali za kujiunga baada ta kuhitimu basi basi hamkuwa serious na mlikuwa mna (vavuum).
Career development is a process na inajengwa taratibu na walimu, wazazi, ndugu, majirani, marafiki magazeti, vitabu, hadithi mitandao(siku hizi).
Wewe kuja kujua career ukubwani sio exchuse bali ni uzembe wako tu.
Jitahidi uwaongoze ndugu zako na watoto wako wasikosee kama wewe japo sitaki kukuamini sana.
Halafu usichanganye vipato vya kazi na passion.
Remember the maximum age to know your passion ni miaka 35.
Hakuna maximum age ya kufaham,(kujua),popote waweza kuanza na Kwa umri wowote na ukafika ,maisha sio BLACK and WHITE kama unavyotaka kuyaweka hapa ,kwenye maisha hakuna set of rules kwamba lazima ufanye hivi tu ndio ufike pale ,yaani unaweza ukapiga kakona kidogo tu kwenye choices zako kakakupeleka mahala hujawahi kudhani ,nawafaham watu waliopata nafuu ya maisha Kwa kozi ya miezi 3 kuliko degree ya miaka mitano ilivyowapa ,
Mwisho kabisa hutakiwi kuniamini kama ulivyosema ,,I AM NOT A PROPHET.
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app