Diana Spencer
JF-Expert Member
- Nov 14, 2018
- 3,609
- 5,144
Wanafanya modification zipi mkuu?Mkuu bongo wapo, Geartech Tanzania (Gtp) wapo Kijito nyama. Hao ndio wababe wa modifications kwa hapa Bongo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanafanya modification zipi mkuu?Mkuu bongo wapo, Geartech Tanzania (Gtp) wapo Kijito nyama. Hao ndio wababe wa modifications kwa hapa Bongo.
Kwanini mkuu, wanaweka feki?Kosa kubwa sana.Mpe hela akanunue vitu vingine ila siyo oil
Kimuonekano Land Cruiser ina sura mbaya kulinganisha na SUV za BMW, Benz, Audi, VW.Mawazo tunatofautiana mkuu. Zipo SUV zina sura nzuri zaidi ila sidhani hili ni baya, especially hizi facelifted. Tukubaliane tu labda kwamba sometimes beauty is in the eye of the beholder
Hizo engine kubwa zina kula mafuta balaa mm kuna rafiki yangu yake alikuwa anauza 6milInsta kumefululiza matangazo ya BREVIS zinazouzwa Bei Chee 4.8 m TZS, Tena namba "D" hizi gari Zina tatizo gani?View attachment 1463078View attachment 1463079View attachment 1463080View attachment 1463081View attachment 1463082View attachment 1463083View attachment 1463084View attachment 1463085
hata km inakula mafuta mm bado naiweka BREVIS ni namba One katika saloonZina shida gani za kiufundi Brevis kwa sababu mi nimetumia kwa miaka karibia minne na tayari ilikuja na km 110,000 toka Japan sijaona shida yake kubwa. Labda uniambie kwamba ina engine kubwa so na mafuta inakula kwa trip za town
Mimi sizani sana kama yanashida izo..ila nahisi ni magari ambayo fashion yake imeanza kupotea, pia ina engine kubwa ulaji wa mafuta uko juu.Insta kumefululiza matangazo ya BREVIS zinazouzwa Bei Chee 4.8 m TZS, Tena namba "D" hizi gari Zina tatizo gani?View attachment 1463078View attachment 1463079View attachment 1463080View attachment 1463081View attachment 1463082View attachment 1463083View attachment 1463084View attachment 1463085
Za injini kubadili,kufanya mapping na kama unataka vitu vingine vya ziada.Wanafanya modification zipi mkuu?
Kwanini mkuu, wanaweka feki?
Unaweza kutaka kutumia oil nzuri mfano ya 50,000 yeye akaweka ya 28,00 utajuaje? Hata asipobadilisha utajuaje kama wewe siyo mzoefu wa magari? Nunua oil &filter na abadilishe ukiwepo.
Mi haya matatizo sijawahi kuexperience na ni mmoja wa watu ambao ukiniambia ninunue sedan comfortable ya bei nzuri leo ntaifikiria. Gari ni namba DCS na ilinunuliwa na km zaidi ya laki. Na imepiga mzigo hapa dar on daily basis na safari kadhaa including nyingi za dar-moro na 1 Dar - Arusha nikiendesha mwenyewe.
Kiufupi kama kweli hizi gari zina shida kiasi hiki basi mi ntakuwa nina bahati nayo. Engine haijawahi kuguswa labda umeme kuna kitu ilisumbua ila sikumbuki ni nini na halikuwa issue kubwa. Maintenance nyingine zilikuwa za kawaida kama za gari nyingine.
Niuzie hio gari
Brevis Shipa
Nimesoma uzi wote nimegunduaMi haya matatizo sijawahi kuexperience na ni mmoja wa watu ambao ukiniambia ninunue sedan comfortable ya bei nzuri leo ntaifikiria. Gari ni namba DCS na ilinunuliwa na km zaidi ya laki. Na imepiga mzigo hapa dar on daily basis na safari kadhaa including nyingi za dar-moro na 1 Dar - Arusha nikiendesha mwenyewe....
Huelewek kwani unaishi nchi gani?Jimesoma uzi wote nimegundua
1. Wachangiaji na wajuaji wengi hawana hata gari ya urithi
2. Mtu ana toa uzoefu wa gari bila kuimiliki kaeikia tu...
Sio lazima unielewe wewe, atakaenielewa atafaidika na nilichoandikaHuelewek kwani unaishi nchi gani?
kiujumla amesema wengi wa wachangiaji humu hawaijui hii gari (Brevis) kwani hawana hata la urithi au la shemeji yakeHuelewek kwani unaishi nchi gani?
kiukweli hakuna gari ndogo ya safari ndefu yenye starehem mwendo na uhakika barabarani km Brevis, huwezi linganisha na IST, Passo au Harrier,(SUV)Niwaambie tu gari ni matunzo, wengi wananunua gari nakufanya service mbovu
Tanzania pia hakuna Mafundi, unaenda gereji unakutana na watoto hajawahi kusomea hata ufundi anatumia experience ya gari jingine kutengeneza lako. Alilokuwa akijifunzia geriji, hana uzooefu
kiujumla amesema wengi wa wachangiaji humu hawaijui hii gari (Brevis) kwani hawana hata la urithi au la shemeji yake
halafu wanasikia maelezo ya vijiweni
kiukweli hakuna gari ndogo ya safari ndefu yenye starehem mwendo na uhakika barabarani km Brevis, huwezi linganisha na IST, Passo au Harrier,(SUV)
Ni gari isiyotaka nafundi uchwara au wa mitaani, au service ya oil za mitaani za kuchanganya SAE 40 & SAE 90
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Brevis Shipa
Komenti za huku usiziogope saaana...wengi wao huwa wanachangia kuchangamsha genge tu....Ave
Average inakula km ngapi kwa liter maana ukiuliza humu, kila mtu anajibu lake.