Brevis inahitajika ofa ml 5

acha dharau na magari ya watu. offer mwisho ungetoa angalau milioni 8
 
Mkuu biashara maelewano kwako m5 ndogo mwengine anaitafuta
ni kweli kabisa lakini kwa hiyo gari unayotaka kwa milioni 5 bado ni ndogo sana mdogo wangu. anyway unaweza kuuziwa kulingana na shida ya muuzaji. utaipata usijali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…