LJ BLOG
Senior Member
- Jul 24, 2011
- 194
- 154
Unachosema ni sahihi kabisa tena kuna oxygen sensor zinaitwaMkinunua mabrevis badilisheni oxygen sensor zote nozel na spark plugs wekeni genuine mpya..brevis inakula mafuta KAWAIDA narudi tena KAWAIDA..breviz inakula 12.7km/litre 2500cc kuzidi mark ii grand yenye 1990cc ambayo ni 10km/litre ..brevis inatumia sensor kucontrol mafuta sensor ikichoka inakunywa sana..thats d4 technology...watu wanamezeshana sumu mfano crester 2000 beam vvti engine inaenda 5.6litre /100km ambayo ni 16km/litre..tanzania mambo huenda kwa kiki wala sio utafiti..jiulize kwanini hawasemi mark x inakula sana mafuta wanasema brevis haliyakuwa ulaji ni sawa?.
BOSCH O2 Oxygen Sensor Toyota Brevis AI250 2.5L w/ UNIVERSAL WIRING to 1-4-wire sensor nasikia ni nzuri sana japokuwa sijawahi kuzipata na sijazielewa waliposema universal wiring to 1-4 wire sensor