Wahli
Senior Member
- May 30, 2017
- 111
- 110
- Thread starter
- #41
JF mahala pa ajabu sana, juzi kuna thread humu ili trend ya kuichana Brevis kwamba siku hizi hazina thamani, haziuziki kwa sababu ya mafuta, engine kubwa. Leo mnasema bei yake ya sokoni bila milioni nane, tisa hupati. Kwa hiyo kumbe huwezi kukwama na Brevis, ukitangaza saba anauza mchana huo huo kwenye soko la 8 mpaka 9.
Mwanangu komaa na hiyo milioni 5 wakitoa machozi wape milioni unusu nyingine unapata Brevis, hawawezi kuringa, gari zinakula mafuta na haziuziki, you control the negotiation.
Ahsante mkuu