Brevis inahitajika ofa ml 5

Brevis inahitajika ofa ml 5

Wadau, hivi kwa mtaji wa m12 hadi 13 naweza kumvua mtu Kluger iliyo ktk hali nzuri?? Nina wazo la kuimiliki hiyo ndinga.
Kupata unaweza kupata ila kwa Muda Gani ndio mtihani Na Pia Unaweza kupata Kama wewe Uangalii NAMBA bali unatazama ubora wa gari Lakini Kama ni Namba unaangalia Utachukua Muda mrefu kuipata
 
Kupata unaweza kupata ila kwa Muda Gani ndio mtihani Na Pia Unaweza kupata Kama wewe Uangalii NAMBA bali unatazama ubora wa gari Lakini Kama ni Namba unaangalia Utachukua Muda mrefu kuipata
OK.. nikiwa tayari ntaweka hadharani..
 
JF mahala pa ajabu sana, juzi kuna thread ili trend ya kuichana Brevis kwamba siku hizi hazina thamani, haziuziki kwa sababu engine kubwa. Leo mnasema bei yake sokoni bila milioni nane, tisa hupati. Kwa hiyo kumbe zinauzika?

Mwanangu komaa na hiyo milioni 5 wakitoa machozi waongeze milioni unusu unapata Brevis, hawawezi kuringa, gari lenyewe engine kubwa, zinakula mafuta, vipuri viko juu na haziuziki, wameyasema wenyewe, you control the negotiation.
Ni mimi nilikuja na picha za brevis imeapata ajari. Wakanivunja moyo mpaka nikachanganyikiwa. Kifupi niliichinja kwa milioni 3 na laki 8 wakati watu wallitaka kwa milioni
 

Attachments

  • aman_used_car_20200530_003001_0.jpg
    aman_used_car_20200530_003001_0.jpg
    20.3 KB · Views: 7
  • aman_used_car_20200530_003001_7.jpg
    aman_used_car_20200530_003001_7.jpg
    31 KB · Views: 7
  • aman_used_car_20200530_003001_4.jpg
    aman_used_car_20200530_003001_4.jpg
    27 KB · Views: 7
Back
Top Bottom