Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hyo four wheel una maanisha yenye matairi manne au 4WD?Njoo nikupe passo cc 990 four wheel
Ninamaanisha 4WDHyo four wheel una maanisha yenye matairi manne au 4WD?
Hapana iwe inasukumwaiwe inatembea?
Ila haina engineIpo brevis na DCD jamaa anasukuma kwa mil 3.8
Utapigwa....!!!Habar wana jamvi nahitaji brevis rangi yoyote cc 2500 namba ianzie C ila ikiwa D itapendeza mwenye nayo aje pm ofa ml 5
Mkuu Fikiria upya kabla hujanunua Brevis, utaanza kujutia uamuzi wako ndani ya masaa 24 Baada ya kuanza kuitumia!Habar wana jamvi nahitaji brevis rangi yoyote cc 2500 namba ianzie C ila ikiwa D itapendeza mwenye nayo aje pm ofa ml 5
Unaanza kumtisha mkuu?Usikute unampiga mikwara kisa inaenda lita 1 km 6 labda.Mkuu Fikiria upya kabla hujanunua Brevis, utaanza kujutia uamuzi wako ndani ya masaa 24 Baada ya kuanza kuitumia!
Acha uongo ndugu yangu?Ipo brevis na DCD jamaa anasukuma kwa mil 3.8
Nimewahi kuwa na hii gari mkuu,Unaanza kumtisha mkuu?Usikute unampiga mikwara kisa inaenda lita 1 km 6 labda.
Nadhani kwa faida ya wengi kwa hii comment yako atakua ameelewa kwanini anunue/asinunue brevis.ThnxsNimewahi kuwa na hii gari mkuu,
Ni kweli gari Iko very comfortable, Ina matatizo machache sana ingawa sio makubwq km Uko vizuri.
Moja, hii gari inakula sana mafuta.
Pili Iko very delicate, impact ndogo tu inafanya gari isitazamike, Ile body yake ni km plastic.
Ukiendesha ndani ya mwaka km sio mtunzaji wa gari, Utafikiri Ina miaka 3.
La mwisho, hizo gari huwa haziuziki, ukinunua uwe tayari ikufie mkononi.
Ushauri:
Ikiwa anataka hii gari, ni Bora atafute mpya sio used, juzikati nilipita kule bahari beach kwny yard yq Yono, wanazo nyingi sana zinauzwa, kwa 9m wanaweza kukupa gari mpya kabisa!