JF mahala pa ajabu sana, juzi kuna thread humu ili trend ya kuichana Brevis kwamba siku hizi hazina thamani, haziuziki kwa sababu ya mafuta, engine kubwa. Leo mnasema bei yake ya sokoni bila milioni nane, tisa hupati. Kwa hiyo kumbe huwezi kukwama na Brevis, ukitangaza saba anauza mchana huo huo kwenye soko la 8 mpaka 9.
Mwanangu komaa na hiyo milioni 5 wakitoa machozi wape milioni unusu nyingine unapata Brevis, hawawezi kuringa, gari zinakula mafuta na haziuziki, you control the negotiation.
Pamoja mkuu.Ahsante Cheif
Nimewahi kuwa na hii gari mkuu,
Ni kweli gari Iko very comfortable, Ina matatizo machache sana ingawa sio makubwq km Uko vizuri.
Moja, hii gari inakula sana mafuta.
Pili Iko very delicate, impact ndogo tu inafanya gari isitazamike, Ile body yake ni km plastic.
Ukiendesha ndani ya mwaka km sio mtunzaji wa gari, Utafikiri Ina miaka 3.
La mwisho, hizo gari huwa haziuziki, ukinunua uwe tayari ikufie mkononi.
Ushauri:
Ikiwa anataka hii gari, ni Bora atafute mpya sio used, juzikati nilipita kule bahari beach kwny yard yq Yono, wanazo nyingi sana zinauzwa, kwa 9m wanaweza kukupa gari mpya kabisa!
Hizi mbolea hazina Bei kabisa.Brevis anapata hata kwa Mil 6 watu wanaziuza sana na ni nzima kabisa. USINUNUE BREVIS MIL 9 UTAKUWA UNAIBIWA MCHANA KWEUPE.MIL 5.5 - 7 UNAPATA BREVIS.
Achana na hizo za Mil 9 ni wizi tu huo.
Passo bei gan mkuuNjoo nikupe passo cc 990 four wheel
Labda huko Simiyu ndo hakuna.Hakuna Brevis Chini 7m
Wamezoea Kuweka Mafuta ya Elfu Kumi ndio maana wanalalamika zinakula Mafuta sasa walitaka zinywe nini Supu ya PwezaHizi mbolea hazina Bei kabisa.
Sasa jiulize Kwann kila anaetumia brevis anatamani kuiuza?
Nilichogundua, wengi wanaonunua hizi gari ni wale wanaonunua gari kwa Mara ya kwanza, au hawana experience yyt na magari, au wananunua sababu ya mkumbo!
Zipo Kibao na Ni nzima tena Namba DHakuna Brevis Chini 7m
Hizo gari hazina soko ndio maana jamaa kaja na hio offer na amini kuwa atapata kitu n'gada kbs kwa hio beiSijaona Vzr Brevis M5 ? Mmmmhhh
Haupo Serious Ndugu Yangu Ila Ngoja Waje Wajuz Zaid Yangu