Brevis inahitajika ofa ml 5

Wadau, hivi kwa mtaji wa m12 hadi 13 naweza kumvua mtu Kluger iliyo ktk hali nzuri?? Nina wazo la kuimiliki hiyo ndinga.
Kupata unaweza kupata ila kwa Muda Gani ndio mtihani Na Pia Unaweza kupata Kama wewe Uangalii NAMBA bali unatazama ubora wa gari Lakini Kama ni Namba unaangalia Utachukua Muda mrefu kuipata
 
Kupata unaweza kupata ila kwa Muda Gani ndio mtihani Na Pia Unaweza kupata Kama wewe Uangalii NAMBA bali unatazama ubora wa gari Lakini Kama ni Namba unaangalia Utachukua Muda mrefu kuipata
OK.. nikiwa tayari ntaweka hadharani..
 
Ni mimi nilikuja na picha za brevis imeapata ajari. Wakanivunja moyo mpaka nikachanganyikiwa. Kifupi niliichinja kwa milioni 3 na laki 8 wakati watu wallitaka kwa milioni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…