Brigadier Ahmed Takadiri Kitete: Shujaa aliyepiganisha vita toka Kagera mpaka Koboko alikozaliwa Idi Amin


Nadhani Ambrose Bayeke ana mchango mkubwa ktk phase ya kwanza ya kuyatoa majeshi ya uvamizi ktk ardhi yetu.

Nasema hivyo kwasababu nimeona kuna mpaka picha za Bayeke akim-brief Mwalimu Nyerere alipowatembelea askari waliokuwa mstari wa mbele.

Kumbukumbu ya mwisho ya Brigadier.Ambrose Bayeke ni alipokuwa parade commander wa magwaride yote makubwa.
 
Seychelles, Meja Jenerali Ngwilizi ndio aliongoza mapambano? Na msumbiji he?
 
Role ya Brigadier Kabunda je?
 
Tumuwezesheni Pasko aifanye hii kazi.
 
Mkuu Nguruvi3, nimelipokea, nitalifanyia kazi.
P

..ktk waandishi ambao wana viwango na wanaoweza kuitendea haki historia hii ni wewe.

..ila TIME is not on your side. Most senior commanders wa vita vya Kagera wametangulia mbele za haki.

..ambao bado wapo ni Gen.David Musuguri, Gen.Tumainieli Kiwelu, Gen.Robert Mboma, na Lt.Gen.Martin Mwakalindile.

..yupo pia Brig.Gen.Lupembe ambaye ana habari nyingi sana za Uganda kwasababu alikuwa msaidizi wa Gen.Musuguri wakati wa vita. Lupembe aliwahi kuhojiwa na magazeti ya Uganda and he was very resourceful.
 

Brigadier General Lupembe ameshatangulia mbele ya haki. Brigadia Gen. Kabunda niliwahi kusikia kwenye banda la sabasaba la jeshi, wamba ndio waliovuka mto kwenda upande wa pili ili daraja liweze kujenga. Naamini inawezekana alikuwa ni special force operator.

All in all, hizi zisiwe hadithi za kusimuliwa tena. Ziandikwe ili watu wengi wazisome na kuelewa. Uzalendo unajengwa. Most of them would be the future role models
 
Usiishie hapo

Tuna makabrasha ya taarifa za vita kwenye briefing Kwa Nyerere, tuna waanshishi wa habari WA enzi zile bado wapo... Akina Mzee Nyang'anyi watakua na appt of good materials

Makumbusho ya taifa, chuo kikuu, CIA files NK

Mimi ningependa kuchangia hii kitu kama tunahitaji fedha

Hizi ndio hazina za taifa

We need to protect our history
 
Inawezekana kabisa kwasababu mwaka 1988 alikuwa Brigedia , sasa ukiangalia ni miaka 10 tu baada ya vita nadhani wakati huo alikuwa meja au Lt Colonel. Na wakati ule captain alikuwa mkubwa sana kwasababu majenerali walikuwa si zaidi ya 3. Kwahiyo utakuwa sahihi kwamba alikuwa ana brief mwalimu

Kuhusu Magwaride, nilipata fursa ya kumuona kwa ukaribu akiwa na askari wake wakati tunwahudumia kama Raia. Askari walimpenda sana kwa wale waliofanya naye kazi

Mara ya mwisho alikuwa kiongozi wa majeshi ya Tanzania nchini Kongo na mwambata wa kijeshi wakati wa Kabila.

Baada ya hapo sijamsikia tena nadhani kastaafu , kama yupo mwenye taarifa zake, tafadhali.
 
Mkuu hili ni la kujaribu , lina 'masilahi' mapana ya umma. Try it . Nina uhakika unaweza kupata msaada mzuri kutoka JWTZ kwasababu ni wadau wakubwa na kazi nzima inawahusu.
Kuna Tanzania Film, kuna 'museum' n.k. Kitu muhimu ni kujipanga, kupanga hoja za project, ku identify wahusika na wapi unaweza kupata resources. P wewe ni wa hapa mjini bwana!

Inawezekana, jaribu. Itakuwa na gharama nyingi za resources n.k. lakini ni jambo muhimu na zuri sana kwa nchi.
 
Ok Mkuu Nguruvi3, naihesabu hii kama info tip,
Natakiwa kutulia na kuifanyia brainstorming then come out with something, a good thing about this it's not a very urgent issue, hivyo inapangika, kwa sasa resources zote ni kwenye how to deal with Corona followed by its impending economic recession.
Corona iki settles and life comes back to normal, acha tufujuzie October issue kwasababu huko ndiko all the coffers zimefungulia milango yake.
Uzalendo mwingine ni very expensive, unaweza kujikuta unalazimika kuwa na upendo wa mshumaa kumulikia wengine huku kwako kunateketea.
P
 
Anko hebu Fanya kitu khs hii
 
Tanzania tunayo hazina kubwa sana ya Makamanda wenye sifa zinazostahili kuigwa na Mataifa mengine hasa kwenye nyanja ya Kijeshi kuna watu walifanya vitendo vya kishujaa kwa weledi wa hali ya juu sana.Tatizo kubwa sana lipo kwa viongozi ambao aidha hawataki au hawajui faida ya kuweka historia ambayo hata watoto na wajukuu wetu watakuja kuona mtu huyu alifanya hivi na huyu alifanya hivi.Tanzania tumekuwa nyuma sana kuwaenzi na kuandika historia ya watu wetu ambao walijitoa mhanga kufa na kupona kwa ajili ya nchi yetu.Kama Taifa utakuta histaria za jujuu tu.Mfano mzuri historia ya vita vya kagera hakuna popote ilipoandikwa ukiondoa watu binafsi waliokuwa mstari wa mbele walioandika Historia zao kutokana na sehemu walizopita wakati wa vita lakini haijumulishi matukio ya vita nzima.
 
Wazo namba 1 mpaka 7 ni sawa lakini hili la October mna wasiwasi gani maana Polisi,wakurugenzi na Tume vyote viko mkononi mwenu mawazo ya nini au na hapo mtasalitiana??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…