TANZIA Brigedia Mstaafu Hassan Ngwilizi Afariki Dunia

Alikuwa waziri wa tamisemi awamu ya mwisho ya mkapa huku naibu wake akiwa ndugu Mizengo Pinda.

Innah lilah wainnah ilayh rajiun
 
Unamaanisha R.I.P aliwahi kuwa prezidaa...!!??
 
RIP Brigedia Mstaafu Hassan Ngwilizi.Katika ulingo wa siasa BWM alimtaka sana huyu mjeda lakini lile kundi haramu la mtandao likamzidi nguvu na kumwingiza Mzee wa Msoga atimaye akawapatia Bandari ya Bwaga moyo wachina.
 
BWM si kwamba alikuwa anamtaka zaidi yule Mzigua Kigoda?
 
Sentensi yako ya mwisho itatulazimisha tuhoji zaidi huo Urais wake huko Kisiwani kuliko Kuguswa na Kifo chake hiki Mkuu.
 
aliwahi kuwa rais wa mpito wa visiwa vya sychelles ama sherisheri amewahi kuwa mkuu wa organisation na mapigano katika jeshi la msumbiji kisha akawa mshauri wa rais wa msumbiji, amewahi kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam marehemu ameacha wake na watoto wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…