TANZIA Brigedier General Martin Mwankanye wa JWTZ afariki dunia

Si walikutana na wenzao wa Malawi kwenye mchezo wa Golf [emoji466] ni nzuri sana inaimarisha afya zetu.

RIP mjeshi wetu.
 
Tangu nihudhurie misiba hapa Tanzania sijawahi kusikia risala ya marehemu ikitaja kafa kwa UKIMWI au COVID 19.
Haya magonjwa hayapo hapa nchini .
 
R.i.p aliewahi kuwa mwalim wangu somo fulani .
Sijui kwa nini wale wazuri ndio wanakufaga wanabaki wale ambao tulijua hata mwaka haufiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Apate pumziko la milele......amina.
 
The way you have presented your concern, it is crystal clear that you're not a citizen of Tz, The united republic.
 
Hivi iliposemwa kwamba njia za kuambukizwa UKIMWI ni kufanya ngono za hovyo hovyo, kulawitiana hovyo hovyo, kuongezwa damu mishipani hovyo hovyo, kujidunga masindano hovyo hovyo, nk.
Hivi mlitaka serikali ichukue hatua gani nyingine? Kununua dawa ya ku- castrate wanaume wote kwa muda mpaka hapo UKIMWI utakapotokomea?
 
R.I.P
Alishastaafu March, 2016, akiwa mkurugenzi wa mahusiano ya kimataifa Jeshini....
 
Nimesema kiswahiri kwanza. Ndio maana tumeamua nchi zote za sadeki kiswahiri kiwe ndio Ruga rasmi. Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…