TANZIA Brigedier General Martin Mwankanye wa JWTZ afariki dunia

Kwahiyo unakaa ( unaishi ) kwa Shemeji yako aliyekuolea Dada yako hapo Lugalo au?
Tuna msiba, ningekujibu kivingine lakini subiri ufiwe!
Kwa taarifa yako marehemu ni mstaafu na wastaafu hawaishi kambini.
 
Kichwa cha habari Major General....habari inasema Brig General....
R.I.P kamanda
 
The good thing is, they also suffer the worst outta this pandemic. No one is safe I tell ya, even the one on the throne, only one deadly mistake and he's gone, trust me...
 
asikusumbue wale ndio walamba matako ya Meco! Yana zamu za kufua chupi za mke wake
 

UN Photo/Eskinder Debebe

Deputy Secretary-General Meets Military Attaché of Tanzania Mission​

Deputy Secretary-General Asha-Rose Migiro (centre) meets with Martin Mwankanye (second from left), Military Attaché of the Permanent Mission of the United Republic of Tanzania to the United Nations.
01 July 2010
United Nations, New York
 
Hata vitabu vya dini vinasema heshimu Serikali iliyoko madarakani, kwa sababu imeruhusiwa na yule aliyeumba vitu vyote. U nani wewe unayedharau Serikali? Romans 13:1-12.
Amelaaniwa mtu wa wa namna hiyo!
Ziwa la moto liwakalo kwa kiberiti milele na milele ndiyo sehemu yake ya mapumziko milele na milele!
 
Kupumua kwa marehemu dakika za mwisho kabla ya uhai wake kulikuaje? .
 

Taratiibu tafadhali. Hii hatari kubwa. Sasa utokomeze ukimwi kwa kuangamiza kizazi cha binadamu? Ni kama Trump alipopendekeza unywaji wa bleach kuangamiza virusi vya corona mwilini!
 
Duu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…