OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
Mkuu Mimi nampango wa kufika South Korea next year. Vip kuhusu kazi huko zinapatikana?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Katekwa[emoji2]Mbona kimya
Chezea kiduku wewe😀😀😀Katekwa[emoji2]
Wana maendeleo kuliko nyie don't forget thatKorea kaskazini bado Iko gizani sana Tanzania iliziishi hizo scenarios 1970 to 1980s, NK waache ujinga wafungue nchi aisee
Hapo ndio nachokaaaaaaa watu weupe ni weupe tuWana maendeleo kuliko nyie don't forget that
NipoMbona kimya
Hahahongera kwa kupata safari mkuu,naona mambo yaliyokuwa yanakuliza moja wapo ni nights[emoji1787][emoji1787]View attachment 2033916
PamojaAsante ndugu britanicca kutupasha habari za taifa linaloongozwa na bwana Kiduku
SanaKorea kaskazini bado Iko gizani sana Tanzania iliziishi hizo scenarios 1970 to 1980s, NK waache ujinga wafungue nchi aisee
Ha ha haa,Aisee....umetishahukumuona jumong?
HakikaHio niliwahi kwenda,, ila masharti yalinishinda...ilibidi niende china ....
Kiduku siku hizi amepoa sana,,,
Hahaeleza mambo ya maana mkuu, madem, pombe, vipi madem wa huko wanatoa mtandao pendwa?
HakikaKorea kaskazini bado Iko gizani sana Tanzania iliziishi hizo scenarios 1970 to 1980s, NK waache ujinga wafungue nchi aisee
Huko Korea kaskazini kuna wakazi ambao ni watu weusi kweli ??Totozi zipo Mkuu ila sasa wanatupenda sana ma black nimefurahije kwa hilo