Britanicca wa JF ni nani? Kwanini leo baada ya mzee Kinana kupitishwa nyuzi zake za nyuma zinafunguliwa sana?

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ndo maana alisema nimejitoa sadaka maisha yangu
 
Sa100 mwenyewe yupo humu anatuchora tu.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
Humu jukwaani nahisi kila kigogo 'mzito' tuko naye! Wengine wenye ujasiri kama Dr Mwigulu Nchemba (MB), wanatumia majina yao halisi!

Huku Vigogo wengine mfano Profesa Elitwege , Dr. jingalao, Profesa mama D , Injinia Idugunde, Mzee Kisinini johnthebaptist wa pale Iringa mjini, Mfanyabiashara mkubwa na maarufu kabisa nchini Mheshimiwa Crimea, wamechagua kutumia majina ya bandia kama mimi.
 
Mzee tupa tupa yuko wapi?
Na Mzee Mwanakijiji pia hajasikika pia na "comments" zake kuhusu ujio wake mpya, licha ya kupewa karipio kali, kuwa "under house arrest" (just hear say) na tuhuma kadha wa kadha wakati wa uhakiki wa mali za chama na zile kuhusu usafirishaji wa bidhaa ghafi katika meli zake.
 
Mwaka juzi britanicca alitangaza humu JF kuachana na siasa rasmi baada ya kuonekana Kama haelewi mambo yalivyokua yanaenda ndani ya serikali. hata hivyo, siku chache baadae akaanza kuonekana humu na nyuzi za Politics tena. Hapo ndipo nilipogundua kuwa jamaa ni mwanaume flani ivi asiyekua na msimamo Kama Mzee wa Rondo.
 
membe back, kinana vice chairman, pinda katibu, itikadi na uenezi shabby.




πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚


wale wabunge wapya mkalee familia zenu.


kigwa nae kapigwa na kitu balaaa
Ubunge mtamu sana
 
Bora tembo wafe lakini sio kuua binadamu kisa madaraka. Sukuma gang mmepigwa kwenye mshono!!
Kama wale waliolipuliwa na bomu kwenye mkutano wa chadema pale Arusha?

Au yule mwandishi aliesambaratishwa na bomu pale iringa?

Au yule Ulimboka alivyongolewa meno?

Basi sawa

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…