Gentlemen_
JF-Expert Member
- Nov 24, 2019
- 4,431
- 13,876
Wazee wa Kataa Ndoa walikuja na hii point.
Ndoa ni Utumwa.
Ndoa ni Utapeli.
Ndoa ni Utumwa.
Ndoa ni Utapeli.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utakuwa period wewe. Si kwa hasira hizi.
Stori nzuri.... Ila last week mlienda kutoa mahari na sasa hivi bro wako ana 2 kids, serious😂😂😂Last week bro ilikuwa anaenda kutoa mahari kwa kabila moja huko Kanda ya Kaskazinu. Ni bro wangu wa damu kabisa baada ya yeye ndo mimi. Hivyo tukachukuana kwenye usafiri hao mpaka huko. Mimi, bro, uncle, rafiki na mshenga tuliambiwa tungempata kule kule.
Tukaenda Ukweni. Siku ya kwanza ikabidi tuonane na mshenga tuyajenge kwanza na tufahamiane. Bro wangu naye ni mpole sana kama mimi. Huwa mnaweza kaa hata masaa 3 hamjaongea kitu. Hapendi kabisa kuongea ongea.
Basi kesho yake tukaenda ukweni. Tumefika harakati nyingi zinaendelea. Watu wana mishe mishe za kumwaga. Ikafika wakati wa msosi. Tukaona tu wakwe wanaitana wanaenda wanakula wakifurahia. Tukasubiri sana muda umeenda saa 10 hiyo.
Wale ndugu ukweni wamekula wameshiba ndo wanatuita nasi tukale. Bro aligoma. Akadai amefunga. Tukashangaa amefunga masaa ya mchana tu? Maana bfast tuligonga naye vizuri tu soup na chapati.
Anyway sisi wengine tukaenda kizushi tu maana chakula chenyewe walishapakua mapande makubwa ya nyama n.k wamebakiza mifupa tu. Mi nikachukua ndizi chache sana.
Tumekula sasa tumekaa. Tumalize kilichotupeleka. Na mipango ni kuwa tumalize mahari pale pale siku ile ile. Basi yakatajwa mambo kadhaa ikafika kwenye mahari. Mjomba mtu anasema mahari ni tsh mil 8. Haipungui hata sent tano. Mshenga akabembeleza sana. Wakagomea hapo. Sisi tulijipanga mahari halisi isizidi Mil 5.
Jamaa wakagoma. Bro muda wote huo yupo kimya ila mimi nlisha mwona hayupo sawa. Maana alishaanza kufinya finya macho. Namjua akianza hivyo maana yake amekasirika.
Basi akasimama ghafla na kusema haina shida. Pale center kuna ATM au Mawakala wa kutoa pesa. Wale wakwe wakajibu kwa haraka sana wapo. Kwa Assey wanatoa hadi Mil 10.
Bro akaniambia twende dogo akamwita na mshenga na mjomba. Wakaja nje akasema twendeni tukatoe pesa. Mshenga akasema wao wasubiri mle ndani. Sisi tuende. Basi tukaingia garini na kuanza kuelekea center. Nikamwona bro anakanyaga mafuta mpaka hotel tuliyofikia.
Akamtumia mshenga tsh 100, 000. Akamtuma dereva taxi mmoja aende kule ukweni akamchukue Mjomba. Akazima simu. Shughuli akaniambia ndo kamaliza.
Bro wala hakutaka kuongea. Nami namjua. So sikutaka muuliza. Huwa akiamua anakuwa ameshaamua. Kule wakachanganyikiwa. Mjomba akaja amefura hasira. Bro alimwambia tu kwa sasa hata Mil 2 ya mahari halipi ameghairi. Kesho tunarudi Dar. Akaingia room.
Mshenga alinitafuta kesho nikamwambia jamaa ameghairi. Wakwe wakaanza kumwambia mshenga amrudishe kijana wakayajenge ni mila tu. Bro akatuambia tupande garini na mizigo maana hatutarudi tena Hotelin. Tukapanda na akaanzisha safari kurudi Dar. Simu kazima.
Shem alikuja mwenyewe Dar. Bro alimwambia safari hii wakitaka mahari waifuate Dar. Akamtia mimba wanaishi wote kwa sasa na two kids. Wakwe walitumiwa tu pesa za zawadi n.k ila hawana hamu kabisa na bro.
Unataka kusemaje😂😂Hapa ndo uIipoharibu stor
Uchagani na uhayani ndio wana upuuzi huo yaani wanawauza wanawake wao ghali sana yaani uyadhani hao wanawake wanakunya almasi wakati wanawake wenyewe wengi wana shepu za kihindi , wajinga sana wale nakumbuka mjomba wangu asha wahi acha mwanamke kule hadi dada wa watu akatishia kujiua uncle akamchukua bila sent na wamezeeka wote sasa wakiwa wanandoa na maisha yanasongaMahari milioni 8😜😜😁😁😋😋😂😂
Kadanganya uhalisia wake,afu chini kaanza kuonyesha uhalisia wakeUnataka kusemaje😂😂
Mahari mmetoka kutoa last week,leo wana 2kids,,ni chizi pekee atakaeisoma hii utumbo yako,,,,chizi wa hedLast week bro ilikuwa anaenda kutoa mahari kwa kabila moja huko Kanda ya Kaskazinu. Ni bro wangu wa damu kabisa baada ya yeye ndo mimi. Hivyo tukachukuana kwenye usafiri hao mpaka huko. Mimi, bro, uncle, rafiki na mshenga tuliambiwa tungempata kule kule.
Tukaenda Ukweni. Siku ya kwanza ikabidi tuonane na mshenga tuyajenge kwanza na tufahamiane. Bro wangu naye ni mpole sana kama mimi. Huwa mnaweza kaa hata masaa 3 hamjaongea kitu. Hapendi kabisa kuongea ongea.
Basi kesho yake tukaenda ukweni. Tumefika harakati nyingi zinaendelea. Watu wana mishe mishe za kumwaga. Ikafika wakati wa msosi. Tukaona tu wakwe wanaitana wanaenda wanakula wakifurahia. Tukasubiri sana muda umeenda saa 10 hiyo.
Wale ndugu ukweni wamekula wameshiba ndo wanatuita nasi tukale. Bro aligoma. Akadai amefunga. Tukashangaa amefunga masaa ya mchana tu? Maana bfast tuligonga naye vizuri tu soup na chapati.
Anyway sisi wengine tukaenda kizushi tu maana chakula chenyewe walishapakua mapande makubwa ya nyama n.k wamebakiza mifupa tu. Mi nikachukua ndizi chache sana.
Tumekula sasa tumekaa. Tumalize kilichotupeleka. Na mipango ni kuwa tumalize mahari pale pale siku ile ile. Basi yakatajwa mambo kadhaa ikafika kwenye mahari. Mjomba mtu anasema mahari ni tsh mil 8. Haipungui hata sent tano. Mshenga akabembeleza sana. Wakagomea hapo. Sisi tulijipanga mahari halisi isizidi Mil 5.
Jamaa wakagoma. Bro muda wote huo yupo kimya ila mimi nlisha mwona hayupo sawa. Maana alishaanza kufinya finya macho. Namjua akianza hivyo maana yake amekasirika.
Basi akasimama ghafla na kusema haina shida. Pale center kuna ATM au Mawakala wa kutoa pesa. Wale wakwe wakajibu kwa haraka sana wapo. Kwa Assey wanatoa hadi Mil 10.
Bro akaniambia twende dogo akamwita na mshenga na mjomba. Wakaja nje akasema twendeni tukatoe pesa. Mshenga akasema wao wasubiri mle ndani. Sisi tuende. Basi tukaingia garini na kuanza kuelekea center. Nikamwona bro anakanyaga mafuta mpaka hotel tuliyofikia.
Akamtumia mshenga tsh 100, 000. Akamtuma dereva taxi mmoja aende kule ukweni akamchukue Mjomba. Akazima simu. Shughuli akaniambia ndo kamaliza.
Bro wala hakutaka kuongea. Nami namjua. So sikutaka muuliza. Huwa akiamua anakuwa ameshaamua. Kule wakachanganyikiwa. Mjomba akaja amefura hasira. Bro alimwambia tu kwa sasa hata Mil 2 ya mahari halipi ameghairi. Kesho tunarudi Dar. Akaingia room.
Mshenga alinitafuta kesho nikamwambia jamaa ameghairi. Wakwe wakaanza kumwambia mshenga amrudishe kijana wakayajenge ni mila tu. Bro akatuambia tupande garini na mizigo maana hatutarudi tena Hotelin. Tukapanda na akaanzisha safari kurudi Dar. Simu kazima.
Shem alikuja mwenyewe Dar. Bro alimwambia safari hii wakitaka mahari waifuate Dar. Akamtia mimba wanaishi wote kwa sasa na two kids. Wakwe walitumiwa tu pesa za zawadi n.k ila hawana hamu kabisa na bro.
Huyo bro wako ni zoba sipendi mwanaume mwoga ambaye changamoto kidogo anaufyata na hawa ndo wanaume wa Tanzania wanatakiwa wapiganie bandari tunasafari ndefu sana kama nchiLast week bro ilikuwa anaenda kutoa mahari kwa kabila moja huko Kanda ya Kaskazinu. Ni bro wangu wa damu kabisa baada ya yeye ndo mimi. Hivyo tukachukuana kwenye usafiri hao mpaka huko. Mimi, bro, uncle, rafiki na mshenga tuliambiwa tungempata kule kule.
Tukaenda Ukweni. Siku ya kwanza ikabidi tuonane na mshenga tuyajenge kwanza na tufahamiane. Bro wangu naye ni mpole sana kama mimi. Huwa mnaweza kaa hata masaa 3 hamjaongea kitu. Hapendi kabisa kuongea ongea.
Basi kesho yake tukaenda ukweni. Tumefika harakati nyingi zinaendelea. Watu wana mishe mishe za kumwaga. Ikafika wakati wa msosi. Tukaona tu wakwe wanaitana wanaenda wanakula wakifurahia. Tukasubiri sana muda umeenda saa 10 hiyo.
Wale ndugu ukweni wamekula wameshiba ndo wanatuita nasi tukale. Bro aligoma. Akadai amefunga. Tukashangaa amefunga masaa ya mchana tu? Maana bfast tuligonga naye vizuri tu soup na chapati.
Anyway sisi wengine tukaenda kizushi tu maana chakula chenyewe walishapakua mapande makubwa ya nyama n.k wamebakiza mifupa tu. Mi nikachukua ndizi chache sana.
Tumekula sasa tumekaa. Tumalize kilichotupeleka. Na mipango ni kuwa tumalize mahari pale pale siku ile ile. Basi yakatajwa mambo kadhaa ikafika kwenye mahari. Mjomba mtu anasema mahari ni tsh mil 8. Haipungui hata sent tano. Mshenga akabembeleza sana. Wakagomea hapo. Sisi tulijipanga mahari halisi isizidi Mil 5.
Jamaa wakagoma. Bro muda wote huo yupo kimya ila mimi nlisha mwona hayupo sawa. Maana alishaanza kufinya finya macho. Namjua akianza hivyo maana yake amekasirika.
Basi akasimama ghafla na kusema haina shida. Pale center kuna ATM au Mawakala wa kutoa pesa. Wale wakwe wakajibu kwa haraka sana wapo. Kwa Assey wanatoa hadi Mil 10.
Bro akaniambia twende dogo akamwita na mshenga na mjomba. Wakaja nje akasema twendeni tukatoe pesa. Mshenga akasema wao wasubiri mle ndani. Sisi tuende. Basi tukaingia garini na kuanza kuelekea center. Nikamwona bro anakanyaga mafuta mpaka hotel tuliyofikia.
Akamtumia mshenga tsh 100, 000. Akamtuma dereva taxi mmoja aende kule ukweni akamchukue Mjomba. Akazima simu. Shughuli akaniambia ndo kamaliza.
Bro wala hakutaka kuongea. Nami namjua. So sikutaka muuliza. Huwa akiamua anakuwa ameshaamua. Kule wakachanganyikiwa. Mjomba akaja amefura hasira. Bro alimwambia tu kwa sasa hata Mil 2 ya mahari halipi ameghairi. Kesho tunarudi Dar. Akaingia room.
Mshenga alinitafuta kesho nikamwambia jamaa ameghairi. Wakwe wakaanza kumwambia mshenga amrudishe kijana wakayajenge ni mila tu. Bro akatuambia tupande garini na mizigo maana hatutarudi tena Hotelin. Tukapanda na akaanzisha safari kurudi Dar. Simu kazima.
Shem alikuja mwenyewe Dar. Bro alimwambia safari hii wakitaka mahari waifuate Dar. Akamtia mimba wanaishi wote kwa sasa na two kids. Wakwe walitumiwa tu pesa za zawadi n.k ila hawana hamu kabisa na bro.
Ulipokosea ni hapo:Sijalewa ndo maana nikaomba unisaidie kurekebisha nilipokosea
Yaani wiki iliyo isha tayari usha jua shemej sijui wifi ana mimba😂😂😂,😏 na watoto wawili juu ndani ya wiki tuu 🙌🙌🙌🙌Last week bro ilikuwa anaenda kutoa mahari kwa kabila moja huko Kanda ya Kaskazinu. Ni bro wangu wa damu kabisa baada ya yeye ndo mimi. Hivyo tukachukuana kwenye usafiri hao mpaka huko. Mimi, bro, uncle, rafiki na mshenga tuliambiwa tungempata kule kule.
Tukaenda Ukweni. Siku ya kwanza ikabidi tuonane na mshenga tuyajenge kwanza na tufahamiane. Bro wangu naye ni mpole sana kama mimi. Huwa mnaweza kaa hata masaa 3 hamjaongea kitu. Hapendi kabisa kuongea ongea.
Basi kesho yake tukaenda ukweni. Tumefika harakati nyingi zinaendelea. Watu wana mishe mishe za kumwaga. Ikafika wakati wa msosi. Tukaona tu wakwe wanaitana wanaenda wanakula wakifurahia. Tukasubiri sana muda umeenda saa 10 hiyo.
Wale ndugu ukweni wamekula wameshiba ndo wanatuita nasi tukale. Bro aligoma. Akadai amefunga. Tukashangaa amefunga masaa ya mchana tu? Maana bfast tuligonga naye vizuri tu soup na chapati.
Anyway sisi wengine tukaenda kizushi tu maana chakula chenyewe walishapakua mapande makubwa ya nyama n.k wamebakiza mifupa tu. Mi nikachukua ndizi chache sana.
Tumekula sasa tumekaa. Tumalize kilichotupeleka. Na mipango ni kuwa tumalize mahari pale pale siku ile ile. Basi yakatajwa mambo kadhaa ikafika kwenye mahari. Mjomba mtu anasema mahari ni tsh mil 8. Haipungui hata sent tano. Mshenga akabembeleza sana. Wakagomea hapo. Sisi tulijipanga mahari halisi isizidi Mil 5.
Jamaa wakagoma. Bro muda wote huo yupo kimya ila mimi nlisha mwona hayupo sawa. Maana alishaanza kufinya finya macho. Namjua akianza hivyo maana yake amekasirika.
Basi akasimama ghafla na kusema haina shida. Pale center kuna ATM au Mawakala wa kutoa pesa. Wale wakwe wakajibu kwa haraka sana wapo. Kwa Assey wanatoa hadi Mil 10.
Bro akaniambia twende dogo akamwita na mshenga na mjomba. Wakaja nje akasema twendeni tukatoe pesa. Mshenga akasema wao wasubiri mle ndani. Sisi tuende. Basi tukaingia garini na kuanza kuelekea center. Nikamwona bro anakanyaga mafuta mpaka hotel tuliyofikia.
Akamtumia mshenga tsh 100, 000. Akamtuma dereva taxi mmoja aende kule ukweni akamchukue Mjomba. Akazima simu. Shughuli akaniambia ndo kamaliza.
Bro wala hakutaka kuongea. Nami namjua. So sikutaka muuliza. Huwa akiamua anakuwa ameshaamua. Kule wakachanganyikiwa. Mjomba akaja amefura hasira. Bro alimwambia tu kwa sasa hata Mil 2 ya mahari halipi ameghairi. Kesho tunarudi Dar. Akaingia room.
Mshenga alinitafuta kesho nikamwambia jamaa ameghairi. Wakwe wakaanza kumwambia mshenga amrudishe kijana wakayajenge ni mila tu. Bro akatuambia tupande garini na mizigo maana hatutarudi tena Hotelin. Tukapanda na akaanzisha safari kurudi Dar. Simu kazima.
Shem alikuja mwenyewe Dar. Bro alimwambia safari hii wakitaka mahari waifuate Dar. Akamtia mimba wanaishi wote kwa sasa na two kids. Wakwe walitumiwa tu pesa za zawadi n.k ila hawana hamu kabisa na bro.
Sijawahi kuelewa logic ya mwanaume kuambiwa alipe mahari. Ni mfumo kandamizi kwa MwanaumeLast week bro ilikuwa anaenda kutoa mahari kwa kabila moja huko Kanda ya Kaskazinu. Ni bro wangu wa damu kabisa baada ya yeye ndo mimi. Hivyo tukachukuana kwenye usafiri hao mpaka huko. Mimi, bro, uncle, rafiki na mshenga tuliambiwa tungempata kule kule.
Tukaenda Ukweni. Siku ya kwanza ikabidi tuonane na mshenga tuyajenge kwanza na tufahamiane. Bro wangu naye ni mpole sana kama mimi. Huwa mnaweza kaa hata masaa 3 hamjaongea kitu. Hapendi kabisa kuongea ongea.
Basi kesho yake tukaenda ukweni. Tumefika harakati nyingi zinaendelea. Watu wana mishe mishe za kumwaga. Ikafika wakati wa msosi. Tukaona tu wakwe wanaitana wanaenda wanakula wakifurahia. Tukasubiri sana muda umeenda saa 10 hiyo.
Wale ndugu ukweni wamekula wameshiba ndo wanatuita nasi tukale. Bro aligoma. Akadai amefunga. Tukashangaa amefunga masaa ya mchana tu? Maana bfast tuligonga naye vizuri tu soup na chapati.
Anyway sisi wengine tukaenda kizushi tu maana chakula chenyewe walishapakua mapande makubwa ya nyama n.k wamebakiza mifupa tu. Mi nikachukua ndizi chache sana.
Tumekula sasa tumekaa. Tumalize kilichotupeleka. Na mipango ni kuwa tumalize mahari pale pale siku ile ile. Basi yakatajwa mambo kadhaa ikafika kwenye mahari. Mjomba mtu anasema mahari ni tsh mil 8. Haipungui hata sent tano. Mshenga akabembeleza sana. Wakagomea hapo. Sisi tulijipanga mahari halisi isizidi Mil 5.
Jamaa wakagoma. Bro muda wote huo yupo kimya ila mimi nlisha mwona hayupo sawa. Maana alishaanza kufinya finya macho. Namjua akianza hivyo maana yake amekasirika.
Basi akasimama ghafla na kusema haina shida. Pale center kuna ATM au Mawakala wa kutoa pesa. Wale wakwe wakajibu kwa haraka sana wapo. Kwa Assey wanatoa hadi Mil 10.
Bro akaniambia twende dogo akamwita na mshenga na mjomba. Wakaja nje akasema twendeni tukatoe pesa. Mshenga akasema wao wasubiri mle ndani. Sisi tuende. Basi tukaingia garini na kuanza kuelekea center. Nikamwona bro anakanyaga mafuta mpaka hotel tuliyofikia.
Akamtumia mshenga tsh 100, 000. Akamtuma dereva taxi mmoja aende kule ukweni akamchukue Mjomba. Akazima simu. Shughuli akaniambia ndo kamaliza.
Bro wala hakutaka kuongea. Nami namjua. So sikutaka muuliza. Huwa akiamua anakuwa ameshaamua. Kule wakachanganyikiwa. Mjomba akaja amefura hasira. Bro alimwambia tu kwa sasa hata Mil 2 ya mahari halipi ameghairi. Kesho tunarudi Dar. Akaingia room.
Mshenga alinitafuta kesho nikamwambia jamaa ameghairi. Wakwe wakaanza kumwambia mshenga amrudishe kijana wakayajenge ni mila tu. Bro akatuambia tupande garini na mizigo maana hatutarudi tena Hotelin. Tukapanda na akaanzisha safari kurudi Dar. Simu kazima.
Shem alikuja mwenyewe Dar. Bro alimwambia safari hii wakitaka mahari waifuate Dar. Akamtia mimba wanaishi wote kwa sasa na two kids. Wakwe walitumiwa tu pesa za zawadi n.k ila hawana hamu kabisa na bro.
Jinga sana hilo linatufanya sisi wote JF ni kama watoto na hadithi zake zisizo na mbele wala nyuma.Ulipokosea ni hapo:
Umeanza na last week...
Umemaliza na akamtia mimba sasa wana kids wawili...
Yaani week moja mbili yametokea yote ayo..
Ndio hadithi zako za kipuuzi unazotaka wana JF tuzingatie, tuzisome na kuzifuatilia ula wengine wakiandika hadithi na matukio ya maisha yao wewe ni kuponda na kuleta usela mavi kwenye habari na stori za maisha yao.
Pumbavu kabisa wewe, sikusoma huu ushuzi wako. Summarize na tuambie huu upuuzi wako unatufundisha nini sisi wana JF?
Upinde huyo achana naye.Huwa nikianzusha Nyuzi lazima aje kwa upesi anitukane na kuita chai