Bro hafai kabisa. Ukweni wamechoka sana. Hawana hamu

Stori nzuri.... Ila last week mlienda kutoa mahari na sasa hivi bro wako ana 2 kids, seriousπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mahari milioni 8πŸ˜œπŸ˜œπŸ˜πŸ˜πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‚πŸ˜‚
Uchagani na uhayani ndio wana upuuzi huo yaani wanawauza wanawake wao ghali sana yaani uyadhani hao wanawake wanakunya almasi wakati wanawake wenyewe wengi wana shepu za kihindi , wajinga sana wale nakumbuka mjomba wangu asha wahi acha mwanamke kule hadi dada wa watu akatishia kujiua uncle akamchukua bila sent na wamezeeka wote sasa wakiwa wanandoa na maisha yanasonga
 
Mahari mmetoka kutoa last week,leo wana 2kids,,ni chizi pekee atakaeisoma hii utumbo yako,,,,chizi wa hed
 
Huyo bro wako ni zoba sipendi mwanaume mwoga ambaye changamoto kidogo anaufyata na hawa ndo wanaume wa Tanzania wanatakiwa wapiganie bandari tunasafari ndefu sana kama nchi

Kwenye maisha mtu anaweza kukuambia jambo ambalo ili akupime uwezo wako wa akili na hii inapnyesha uwezo wa kukabiliana na changamoto ni mdogo sana kwa bro wako

Jambo lolote kwenye maisha unalipigania haliji kirahis lazima tuwafundishe watoto wetu hiki kitu mwanaume jasiri huwez mkuta ana zirazira
 
Yaani wiki iliyo isha tayari usha jua shemej sijui wifi ana mimbaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚,😏 na watoto wawili juu ndani ya wiki tuu πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ

Mara gari mliacha mjini mkaenda na boda mara tena mlivyo toka ndani mkaingia kwenye gari πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

We jamaa ukitunga story usisahu uongo ulio kwisha uanza juu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sijawahi kuelewa logic ya mwanaume kuambiwa alipe mahari. Ni mfumo kandamizi kwa Mwanaume
 
Ulipokosea ni hapo:

Umeanza na last week...

Umemaliza na akamtia mimba sasa wana kids wawili...

Yaani week moja mbili yametokea yote ayo..
Jinga sana hilo linatufanya sisi wote JF ni kama watoto na hadithi zake zisizo na mbele wala nyuma.
 

Huwa nikianzusha Nyuzi lazima aje kwa upesi anitukane na kuita chai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…