Bro hafai kabisa. Ukweni wamechoka sana. Hawana hamu

🀣🀣🀣 good thing wanapendana.
Haya mambo ya mahari yamepitwa na wakati sana kwa kweli!!
 
Wanaushenzi sana huko kati wanadhani pesa zinachumwa hapo kwenye miti.

Hio ndio dawa yao

Kingole kwa bro wako.

Hata Mimi ninaye mmoja wa pande hizo tutaenda kwa formula hio tu
 

Hakuna Mzazi wa hivyo

1. Awashindishe njaa.
2. Mahari 8m

Hawa watu wa kaskazini mnawaona wana ubaya sana, ila wapo wema sana huko.

Acha kutengeneza hadithi story za vijiweni kwenu huko.
 
 

Attachments

  • FB_IMG_1686424829742.jpg
    27.3 KB · Views: 2
Kama hajamkuta bikra hiyo milioni 5 mliyojiandaa kuipeleka ukweni ya nini?
No bikra no bride price
 
Last week ndo mmeenda kutoa mahari wakazingua wakwe, sasa tena bro ndani ya wiki hii amekasirika kamtia mimba shem kashazaa watoto wawili, mimba za siku mbili mbili au ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…