Sir mgax
JF-Expert Member
- Dec 10, 2023
- 2,160
- 3,831
Kamwe usimwambie mambo haya 6 mwanamke.
Lets continue,
- Idadi ya wanawake uliokutana nao kimwili
- Muda uliokaa bila kufanya mapenzi
- Hofu yako kabla ya kufanya naye mapenzi
- Kufeli kwako kwenye mapenzi
- Tabia yako ya kujichua au kuangalia video za ngono
- Usimwambie kila ukweli wako
Lets continue,