Bro to bro: Kamwe usimwambie mwanamke mambo haya

Bro to bro: Kamwe usimwambie mwanamke mambo haya

Ila shaggy hakukosea kuimba Strength of the woman..😂

Jamani sisi wanaume kila kukicha ni kuhofia wanawake. Wanawake hivi, wanawake vile.

Mara kuishi na mwanamke fanya hivi, fanya vile.

Lakini miaka na miaka, hofu na woga hazituishi.

Humu JF kila kukicha nyuzi kuhusu wanawake haziishi.

Tumeshindwa kabisa kujua tuishi vipi na wanawake.

Ngoja niite wanawake wa JF.

Mallerina, Kapeace, Jadda , Evelyn Salt , Luna79 Bushmamy , Binti wa zamani Seran, Lamomy, Mahondaw ,Demi ,To yeye , Sky Eclat
Kuwa upande wa wanawake sio mbaya.Ingawa sidhani kama ni wote watakubaliana na wewe.
 
Yaniiiiii kwa siku Kuna nyuzi 20 za wanaume 20 wakiongelea wanawake.......

Dj tupigie tatu bila kibao kutoka kwa tmk wanaume family, usifanye chikichikiiichikiiii iache iishe
Siongelei kwa baya.Ninaenjoy mahusiano yangu madam.Ingawa hizi ni codes ambao wengi tunapaswa kuzijua.
 
Poleni mimi huwa nawaambia

Sina gari,
Siwezi ku drive
My dick is small
I'm manipulator
I beat women
Sina hela
Sina elimu ya chuo..

I absolutely abhor lying and pretending to be something one is not.

Being authentic,and appropriately humble sio dhambi.

WARNING!! Never appear perfect,rich, and intelligent.It brings unnecessary problems.
Kunawatu ukiwaambia hawaamini kabisa mkuu.
 
Ila shaggy hakukosea kuimba Strength of the woman..😂

Jamani sisi wanaume kila kukicha ni kuhofia wanawake. Wanawake hivi, wanawake vile.

Mara kuishi na mwanamke fanya hivi, fanya vile.

Lakini miaka na miaka, hofu na woga hazituishi.

Humu JF kila kukicha nyuzi kuhusu wanawake haziishi.

Tumeshindwa kabisa kujua tuishi vipi na wanawake.

Ngoja niite wanawake wa JF.

Mallerina, Kapeace, Jadda , Evelyn Salt , Luna79 Bushmamy , Binti wa zamani Seran, Lamomy, Mahondaw ,Demi ,To yeye , Sky Eclat
Kwanza hujaona zile nyuzi za mbinu za kumtongoza mwanamke😹😹😹💔zimejaa utahisi ni 1D ya mtu mmoja
 
Majanja inabidi mjisomee kitabu "The Manipulated Man", mna lialia sana & kulishana matango-pori.
 
Cha muhimu asijue pin code zako za bank, Net income. Huo usenge usenge mwingine ata akijua n kawaida tu
 
Kamwe usimwambie mambo haya 6 mwanamke.

  • Idadi ya wanawake uliokutana nao kimwili
  • Muda uliokaa bila kufanya mapenzi
  • Hofu yako kabla ya kufanya naye mapenzi
  • Kufeli kwako kwenye mapenzi
  • Tabia yako ya kujichua au kuangalia video za ngono
  • Usimwambie kila ukweli wako
View attachment 3690550




Lets continue,
View attachment 3690559View attachment 3690562View attachment 3690561View attachment 3690563View attachment 3690564View attachment 3690566
Screenshot_20261009-224829~2.jpg
 
Back
Top Bottom