Si muachane nao mfanye mambo mengine, nyie machizi nini 😹😹Dawa yao misiba tu
Pamoja MkuuNitakutag.
Aniache labda.. tatizo atakapotaka pasu pasu mali.Si muachane nao mfanye mambo mengine, nyie machizi nini 😹😹
⚰️⚰️Msijisahau😁😁😁
Mali zenyewe mali gani babuuu acheni kukuza mambo jamani......Aniache labda.. tatizo atakapotaka pasu pasu mali.
Friji, Jaba, Kabati, Gidoro la QFL, TV inch 32, mtungi wa gesi wa OryxMali zenyewe mali gani babuuu acheni kukuza mambo jamani......
Unakuta mwalimu nae anaogopa kuoa kisa hataki kugawana mali na mke ukimuuliza ana nini ni ndoo mbili moja ya kuweka maji ya kuoga nyengine maji ya kunywa godoro inchi 2 stool mbili na shangazi kaja moja.Mali zenyewe mali gani babuuu acheni kukuza mambo jamani......
Na jagi la Tokyo la kuchemsha maji ulilotoka nalo chuo huko mxyiuuuuuu 😹😹😹😹Friji, Jaba, Kabati, Gidoro la QFL, TV inch 32, mtungi wa gesi wa Oryx
Na ukimnyima hela anakuona wewe km nuksi na mkosi tu kwenye maisha yakeMengine we sema tu. Ila kwenye hela hawa watu nuksi.... Jitahidi kuficha kipato halisi au hata kama anajua hakikisha unajiwekea kwa ajili ya uzeeni...
Nongwa sana hawa kwenye hela.
Na bado ukaachwaMimi mara ya kwanza nakutana na mama abel nilimwambia kila kitu
Yaniiiiii kwa siku Kuna nyuzi 20 za wanaume 20 wakiongelea wanawake.......Ila shaggy hakukosea kuimba Strength of the woman..😂
Jamani sisi wanaume kila kukicha ni kuhofia wanawake. Wanawake hivi, wanawake vile.
Mara kuishi na mwanamke fanya hivi, fanya vile.
Lakini miaka na miaka, hofu na woga hazituishi.
Humu JF kila kukicha nyuzi kuhusu wanawake haziishi.
Tumeshindwa kabisa kujua tuishi vipi na wanawake.
Ngoja niite wanawake wa JF.
Mallerina, Kapeace, Jadda , Evelyn Salt , Luna79 Bushmamy , Binti wa zamani Seran, Lamomy, Mahondaw ,Demi ,To yeye , Sky Eclat
Wanawasumbua wajinga wenzaoWanawake wanasumbua akili...... hadi raha
Mwanamke mwanamke , mara ishi kwa akili na mwanamke, mara usioon mwanamke wa hivi, mara kabila lile , upuuzi juu ya upuzi,Wanawake wanasumbua akili...... hadi raha
Bro umemalizaMwanamke mwanamke , mara ishi kwa akili na mwanamke, mara usioon mwanamke wa hivi, mara kabila lile , upuuzi juu ya upuzi,
Tafuteni hela, heshimu mwanamke basi. Yeye atakaa kwa mfumo wako
😀😀Wanawake wanasumbua akili...... hadi raha