Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 8,069
- 15,029
Usimnyime mpe ila asijue kipato chako chote. Shika hii.Na ukimnyima hela anakuona wewe km nuksi na mkosi tu kwenye maisha yake
Usimnyime mpe ila asijue kipato chako chote. Shika hii.Na ukimnyima hela anakuona wewe km nuksi na mkosi tu kwenye maisha yake
Jumuia ya wanaupinde (🌈) imemushitaki kwa mamodi, wanadai kuwa anawachachafya pasina chembe ya huruma, 😂 mamodi wamemweka rumande.Hivi Mhe Secretary bird kafanya nini wazee 😂😂, toka jana simuoni jukwaani kumbe kala ban
Duh I hope ana back up ID...Jumuia ya wanaupinde (🌈) imemushitaki kwa mamodi, wanadai kuwa anawachachafya pasina chembe ya huruma, 😂 mamodi wamemweka rumande.
Naunga mkono hoja mkuu.Duh I hope ana back up ID...
sema hao washamba wana nguvu sana...
Anyway Mwanamke asiambiwe chochote acha akutane nayo😎😎
Bora wewe umeliona hili tatizo.Ila shaggy hakukosea kuimba Strength of the woman..😂
Jamani sisi wanaume kila kukicha ni kuhofia wanawake. Wanawake hivi, wanawake vile.
Mara kuishi na mwanamke fanya hivi, fanya vile.
Lakini miaka na miaka, hofu na woga hazituishi.
Humu JF kila kukicha nyuzi kuhusu wanawake haziishi.
Tumeshindwa kabisa kujua tuishi vipi na wanawake.
Ngoja niite wanawake wa JF.
Mallerina, Kapeace, Jadda , Evelyn Salt , Luna79 Bushmamy , Binti wa zamani Seran, Lamomy, Mahondaw ,Demi ,To yeye , Sky Eclat
Sisi ni kama maji🤣🤣🤣Ila shaggy hakukosea kuimba Strength of the woman..😂
Jamani sisi wanaume kila kukicha ni kuhofia wanawake. Wanawake hivi, wanawake vile.
Mara kuishi na mwanamke fanya hivi, fanya vile.
Lakini miaka na miaka, hofu na woga hazituishi.
Humu JF kila kukicha nyuzi kuhusu wanawake haziishi.
Tumeshindwa kabisa kujua tuishi vipi na wanawake.
Ngoja niite wanawake wa JF.
Mallerina, Kapeace, Jadda , Evelyn Salt , Luna79 Bushmamy , Binti wa zamani Seran, Lamomy, Mahondaw ,Demi ,To yeye , Sky Eclat
ukikua utasahau hadi mwingina atakuambia mbn tulitoka wote mwaka 1997 unabaki unashangaa huyu yupi tena
wewe mungu?Ngono ni dhambi na hili halipingwi.
nenda darasani. watoto kama nyie hampaswi kuwa huku ngoja tuharakishe serikali ipitishe sheria kama za EU nyie watoto wa chini ya 16 msiwe online milelesio mungu ni Mungu.
Ndio mimi ni Mungu mtarajiwa in the name of Jesus Christ.sema AMEN.