Sir mgax JF-Expert Member Joined Dec 10, 2023 Posts 2,160 Reaction score 3,831 Oct 14, 2026 #1 Kamwe usimwambie mambo haya 6 mwanamke. Idadi ya wanawake uliokutana nao kimwili Muda uliokaa bila kufanya mapenzi Hofu yako kabla ya kufanya naye mapenzi Kufeli kwako kwenye mapenzi Tabia yako ya kujichua au kuangalia video za ngono Usimwambie kila ukweli wako Lets continue,
Kamwe usimwambie mambo haya 6 mwanamke. Idadi ya wanawake uliokutana nao kimwili Muda uliokaa bila kufanya mapenzi Hofu yako kabla ya kufanya naye mapenzi Kufeli kwako kwenye mapenzi Tabia yako ya kujichua au kuangalia video za ngono Usimwambie kila ukweli wako Lets continue,
Matunzo 02 JF-Expert Member Joined Jul 7, 2026 Posts 1,620 Reaction score 3,165 Oct 14, 2026 #2 Nikimwambia kuna madhara gan?
Evelyn Salt Platinum Member Joined Jan 5, 2012 Posts 78,768 Reaction score 172,128 Oct 14, 2026 #3 Wanawake wanasumbua akili...... hadi raha
Vincenzo Jr Platinum Member Joined Sep 23, 2020 Posts 33,225 Reaction score 83,181 Oct 14, 2026 #4 Mimi mara ya kwanza nakutana na mama abel nilimwambia kila kitu
R RESILIENT KATO JF-Expert Member Joined Aug 21, 2024 Posts 4,504 Reaction score 8,842 Oct 14, 2026 #5 Acha kuumiza akili Yako,mahusiano ni majaribio TU sio umilele!jaribio likifanikiwa mtadumu likishindwa basi!
Acha kuumiza akili Yako,mahusiano ni majaribio TU sio umilele!jaribio likifanikiwa mtadumu likishindwa basi!
Mallerina JF-Expert Member Joined Jan 19, 2023 Posts 4,666 Reaction score 11,789 Oct 14, 2026 #6 Hivi vitu havina formula😹
adrenaline JF-Expert Member Joined Jun 17, 2015 Posts 4,727 Reaction score 8,093 Oct 14, 2026 #7 Ndio maana kuna matukio makubwa makubwa ya kujiua na kuua
uhurumoja JF-Expert Member Joined Mar 2, 2014 Posts 11,915 Reaction score 28,284 Oct 14, 2026 #8 Mwanamke kama kipepeo atatua kwenye ua analopenda usitumie nguvu nyingi
Sir mgax JF-Expert Member Joined Dec 10, 2023 Posts 2,160 Reaction score 3,831 Oct 14, 2026 Thread starter #9 Matunzo 02 said: Nikimwambia kuna madhara gan? Click to expand... Haina faida ya yeye kujua.Inaweza ikawa ni njia ya wewe na yeye pia kuvunja hayo mapenzi.
Matunzo 02 said: Nikimwambia kuna madhara gan? Click to expand... Haina faida ya yeye kujua.Inaweza ikawa ni njia ya wewe na yeye pia kuvunja hayo mapenzi.
Sir mgax JF-Expert Member Joined Dec 10, 2023 Posts 2,160 Reaction score 3,831 Oct 14, 2026 Thread starter #10 Evelyn Salt said: Wanawake wanasumbua akili...... hadi raha Click to expand... 😀Hongereni wanawake.
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 35,566 Reaction score 104,386 Oct 14, 2026 #11 Mshahara wako
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 35,566 Reaction score 104,386 Oct 14, 2026 #12 Evelyn Salt said: Wanawake wanasumbua akili...... hadi raha Click to expand... Dawa yao misiba tu
Sir mgax JF-Expert Member Joined Dec 10, 2023 Posts 2,160 Reaction score 3,831 Oct 14, 2026 Thread starter #13 Vincenzo Jr said: Mimi mara ya kwanza nakutana na mama abel nilimwambia kila kitu Click to expand... Jambo jema sana mkuu.Ikiwa ni hivyo basi na yeye amejizatiti kwako kinagaubaga ingawa ilichukua muda mrefu sana.
Vincenzo Jr said: Mimi mara ya kwanza nakutana na mama abel nilimwambia kila kitu Click to expand... Jambo jema sana mkuu.Ikiwa ni hivyo basi na yeye amejizatiti kwako kinagaubaga ingawa ilichukua muda mrefu sana.
Mhandisi Mzalendo JF-Expert Member Joined Aug 23, 2010 Posts 8,069 Reaction score 15,029 Oct 14, 2026 #14 Mengine we sema tu. Ila kwenye hela hawa watu nuksi.... Jitahidi kuficha kipato halisi au hata kama anajua hakikisha unajiwekea kwa ajili ya uzeeni... Nongwa sana hawa kwenye hela.
Mengine we sema tu. Ila kwenye hela hawa watu nuksi.... Jitahidi kuficha kipato halisi au hata kama anajua hakikisha unajiwekea kwa ajili ya uzeeni... Nongwa sana hawa kwenye hela.
Sir mgax JF-Expert Member Joined Dec 10, 2023 Posts 2,160 Reaction score 3,831 Oct 14, 2026 Thread starter #15 RESILIENT KATO said: Acha kuumiza akili Yako,mahusiano ni majaribio TU sio umilele!jaribio likifanikiwa mtadumu likishindwa basi! Click to expand... Iko hivyo.
RESILIENT KATO said: Acha kuumiza akili Yako,mahusiano ni majaribio TU sio umilele!jaribio likifanikiwa mtadumu likishindwa basi! Click to expand... Iko hivyo.
Sir mgax JF-Expert Member Joined Dec 10, 2023 Posts 2,160 Reaction score 3,831 Oct 14, 2026 Thread starter #16 Mallerina said: Hivi vitu havina formula😹 Click to expand... Umeona wapi neno “pesa”😀.
Sir mgax JF-Expert Member Joined Dec 10, 2023 Posts 2,160 Reaction score 3,831 Oct 14, 2026 Thread starter #17 adrenaline said: Ndio maana kuna matukio makubwa makubwa ya kujiua na kuua Click to expand... Nitakutag.
adrenaline said: Ndio maana kuna matukio makubwa makubwa ya kujiua na kuua Click to expand... Nitakutag.
Evelyn Salt Platinum Member Joined Jan 5, 2012 Posts 78,768 Reaction score 172,128 Oct 14, 2026 #18 Sir mgax said: 😀Hongereni wanawake. Click to expand... Tunashukuru Mungu, yeye ndio katuinua..... 😃
Sir mgax JF-Expert Member Joined Dec 10, 2023 Posts 2,160 Reaction score 3,831 Oct 14, 2026 Thread starter #19 Mhandisi Mzalendo said: Mengine we sema tu. Ila kwenye hela hawa watu nuksi.... Jitahidi kuficha kipato halisi au hata kama anajua hakikisha unajiwekea kwa ajili ya uzeeni... Nongwa sana hawa kwenye hela. Click to expand... Sasa na umasikini wangu Mallerina utachukua nin😀i?
Mhandisi Mzalendo said: Mengine we sema tu. Ila kwenye hela hawa watu nuksi.... Jitahidi kuficha kipato halisi au hata kama anajua hakikisha unajiwekea kwa ajili ya uzeeni... Nongwa sana hawa kwenye hela. Click to expand... Sasa na umasikini wangu Mallerina utachukua nin😀i?
Mhandisi Mzalendo JF-Expert Member Joined Aug 23, 2010 Posts 8,069 Reaction score 15,029 Oct 14, 2026 #20 Sir mgax said: Sasa na umasikini wangu Mallerina utachukua nin😀i? Click to expand... Atachukua hata roho yako...
Sir mgax said: Sasa na umasikini wangu Mallerina utachukua nin😀i? Click to expand... Atachukua hata roho yako...