Bro to bro: Kamwe usimwambie mwanamke mambo haya

Kuwa upande wa wanawake sio mbaya.Ingawa sidhani kama ni wote watakubaliana na wewe.
 
Yaniiiiii kwa siku Kuna nyuzi 20 za wanaume 20 wakiongelea wanawake.......

Dj tupigie tatu bila kibao kutoka kwa tmk wanaume family, usifanye chikichikiiichikiiii iache iishe
Siongelei kwa baya.Ninaenjoy mahusiano yangu madam.Ingawa hizi ni codes ambao wengi tunapaswa kuzijua.
 
Kunawatu ukiwaambia hawaamini kabisa mkuu.
 
Unakuwa na mipango mingi kumbe kuna mwenzio akimtumia tu video ya ngono inamchanganya anakuambia mama yake ni mgonjwa sana inabidi akamuone.
 
Kwanza hujaona zile nyuzi za mbinu za kumtongoza mwanamke😹😹😹💔zimejaa utahisi ni 1D ya mtu mmoja
 
Majanja inabidi mjisomee kitabu "The Manipulated Man", mna lialia sana & kulishana matango-pori.
 
Cha muhimu asijue pin code zako za bank, Net income. Huo usenge usenge mwingine ata akijua n kawaida tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…