Bro to bro: Kamwe usimwambie mwanamke mambo haya

Hivi Mhe Secretary bird kafanya nini wazee 😂😂, toka jana simuoni jukwaani kumbe kala ban
Jumuia ya wanaupinde (🌈) imemushitaki kwa mamodi, wanadai kuwa anawachachafya pasina chembe ya huruma, 😂 mamodi wamemweka rumande.
 
Jumuia ya wanaupinde (🌈) imemushitaki kwa mamodi, wanadai kuwa anawachachafya pasina chembe ya huruma, 😂 mamodi wamemweka rumande.
Duh I hope ana back up ID...
sema hao washamba wana nguvu sana...

Anyway Mwanamke asiambiwe chochote acha akutane nayo😎😎
 
Bora wewe umeliona hili tatizo.
 
Sisi ni kama maji🤣🤣🤣
Tumetulia tunawazoom tu.
 
sio mungu ni Mungu.
Ndio mimi ni Mungu mtarajiwa in the name of Jesus Christ.sema AMEN.
nenda darasani. watoto kama nyie hampaswi kuwa huku ngoja tuharakishe serikali ipitishe sheria kama za EU nyie watoto wa chini ya 16 msiwe online milele
 
Kwahiyo usipomwambia ndio utakuwa umepona hizo tabia? Huna haja ya kuhangaika kote huko, hizo tabia hazipaswi kuwa sehemu ya maisha yako. Omba Mungu akutoe humo.
 
Kwahiyo usipomwambia ndio utakuwa umepona hizo tabia? Huna haja ya kuhangaika kote huko, hizo tabia hazipaswi kuwa sehemu ya maisha yako. Omba Mungu akutoe humo.
Mkuu ungeelewa kwanza kabla ya kubisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…