M Mtu wa Mara JF-Expert Member Joined Apr 10, 2026 Posts 599 Reaction score 1,233 Oct 16, 2026 #81 uhurumoja said: Mwanamke kama kipepeo atatua kwenye ua analopenda usitumie nguvu nyingi Click to expand... Wa siku hizi wanatua kwenye pesa au uhakika wa jambo lake
uhurumoja said: Mwanamke kama kipepeo atatua kwenye ua analopenda usitumie nguvu nyingi Click to expand... Wa siku hizi wanatua kwenye pesa au uhakika wa jambo lake
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Oct 18, 2026 #82 Hatari sana, hayanaga miongozo... Cc: Mahondaw
K kibo mawenzi kilimanjaro Member Joined May 11, 2024 Posts 45 Reaction score 69 Oct 18, 2026 #83 Sir mgax said: Kamwe usimwambie mambo haya 6 mwanamke. Idadi ya wanawake uliokutana nao kimwili Muda uliokaa bila kufanya mapenzi Hofu yako kabla ya kufanya naye mapenzi Kufeli kwako kwenye mapenzi Tabia yako ya kujichua au kuangalia video za ngono Usimwambie kila ukweli wako View attachment 3690550 Lets continue, View attachment 3690559View attachment 3690562View attachment 3690561View attachment 3690563View attachment 3690564View attachment 3690566 Click to expand... Mtaani hali ngumu pesa imekuwa adimu kama bikra kwa changudoa sabuni zinatuhusu mkuu
Sir mgax said: Kamwe usimwambie mambo haya 6 mwanamke. Idadi ya wanawake uliokutana nao kimwili Muda uliokaa bila kufanya mapenzi Hofu yako kabla ya kufanya naye mapenzi Kufeli kwako kwenye mapenzi Tabia yako ya kujichua au kuangalia video za ngono Usimwambie kila ukweli wako View attachment 3690550 Lets continue, View attachment 3690559View attachment 3690562View attachment 3690561View attachment 3690563View attachment 3690564View attachment 3690566 Click to expand... Mtaani hali ngumu pesa imekuwa adimu kama bikra kwa changudoa sabuni zinatuhusu mkuu