Broken hearts(quotes)..tukutane hapa tuliopigwa matukio

Jamani yaaani ndo kwanza nimetimba leo JF nakjta kuna mtu kaumizwaa loooh,
Kwanini uteseke toto jeupe lenye shepu yake?

Hapa nimekaa kaa tu hebu nikufariji slowly na pole pole kama mwendo wa kobe,
Ili hata ukijisikia vibaya, awepo mfariji pembeni yako wewe,
Yaaache hayo ya zamani, njoo usikilize story za kidumeπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…