ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
Taratibu basi🤣Pole sana kwa maumivu, lakini amini Mungu kwamba maumivu ni kitu cha muda na yatapita, ila usikubali maumivu yakotoe kwenye mstari na kuharibu mipango yako aloooo...🤔
Taratibu basi🤣Pole sana kwa maumivu, lakini amini Mungu kwamba maumivu ni kitu cha muda na yatapita, ila usikubali maumivu yakotoe kwenye mstari na kuharibu mipango yako aloooo...🤔
Hii chai DadChukua foto yake ikuliwazeView attachment 3591475
Aaaah na ni umbuzi kweli kweli kuwa na account nyingi hamna la maanaHilo swali jibu lake analo adriz de mbusii 😂😂.
tafsida gani au mawenge tu. Uongo kama wote. Kuna haja gani wadanganye tunachokijuawanaitumia tafsida
wewe ni mwanamke bora lakini usinipende kwa moodHebu niambie unavyokisikia kijana mood yangu ipo vizuri
Ngoja akusikie. Atakufia tu maana ana I'd nyingi sana. Unaambiwa karibia robo ya I'd zote zilizopo online ni zake 😂.Aaaah na ni umbuzi kweli kweli kuwa na account nyingi hamna la maana
Sijasema nakupendawewe ni mwanamke bora lakini usinipende kwa mood
Hahahaha mara de mafwele, mara de mbuzi khaaa Mpuuzi tu yuleNgoja akusikie. Atakufia tu maana ana I'd nyingi sana. Unaambiwa karibia robo ya I'd zote zilizopo online ni zake 😂.
Yule jamaa ni Moja ya watu wenye akili kubwa sana 😂.Hahahaha mara de mafwele, mara de mbuzi khaaa Mpuuzi tu yule
wewe ni mwanamke bora lakini usinisikilize kwa moodSijasema nakupenda
Nimesema leo mood yangu ipo vizuri
Sema una vyojisikia nakusikiliza sawa
Mmmmh aiseee, sidhani kwani aliwahi fanya nini cha maanaYule jamaa ni Moja ya watu wenye akili kubwa sana 😂.
Shenziiii sana kijana 🤣🤣wewe ni mwanamke bora lakini usinisikilize kwa mood
Usiongeze chupa nyingine please 🙌Nakushauri upende kusali kwa imani yako ili ikawe faraja na kuuponya moyo wako...
Mfuatilie utajua 😂.Mmmmh aiseee, sidhani kwani aliwahi fanya nini cha maana
Leo sijagusa mvinyo mkuu, hauoni madini yalivyo nyooka....😜Usiongeze chupa nyingine please 🙌
Au kwa vile ulikuwa bonge!?Hii chai Dad