Xiao qui shui
JF-Expert Member
- Feb 26, 2022
- 6,461
- 11,345
Anakuwaga na mada za kiwaki sanaaa za KUJISIFU KWENYE ACCOUNT NYINGINEMfuatilie utajua 😂.
Anakuwaga na mada za kiwaki sanaaa za KUJISIFU KWENYE ACCOUNT NYINGINEMfuatilie utajua 😂.
Ila huwa ananifurahisha sana yule mdogo wangu 😂. Sina noma naye.Anakuwaga na mada za kiwaki sanaaa za KUJISIFU KWENYE ACCOUNT NYINGINE
Kuna mtu alikuwa anaitwa tumbili wa mjini sijui unampataIla huwa ananifurahisha sana yule mdogo wangu 😂. Sina noma naye.
Npata vizuri sana. Kuna mwingine anajiita tumbili in town. Hawa vijana bana!Kuna mtu alikuwa anaitwa tumbili wa mjini sijui unampata
Huo ushauri ndio unanitia mashaka 😋Leo sijagusa mvinyo mkuu, hauoni madini yalivyo nyooka....😜
Yule jamaaa alikuwa mchangamfu sana humu ndani sijui kapotelea wapi daahNpata vizuri sana. Kuna mwingine anajiita tumbili in town. Hawa vijana bana!
Yoo sina hamu hurudi kule 🤣🤣 mshangaziAu kwa vile ulikuwa bonge!?
Ohhhooooo....🙆♀️Huo ushauri ndio unanitia mashaka 😋
Labda ni mwanamke na ameenda kuzaa na analea.Yule jamaaa alikuwa mchangamfu sana humu ndani sijui kapotelea wapi daah
🤣🤣🤣Aiseee ndo ajiute tumbili in town, yule wa kiume aisee members wengi hawaonekaniLabda ni mwanamke na ameenda kuzaa na analea.
Hamna hata 🤣🤣 vp upo lindo?Ohhhooooo....🙆♀️
Nimesha haribu tena kwani..🤔
Nipo msibani hapa kwa mchina, maasai wamemdhulum nafsi R.i.P Classmate...😮💨Hamna hata 🤣🤣 vp upo lindo?
Baada ya JF kufungiwa na TCRA watu wengi hawajaonekana tena.🤣🤣🤣Aiseee ndo ajiute tumbili in town, yule wa kiume aisee members wengi hawaonekani
Classmates wako wanapukutika sana aisee pole😢Nipo msibani hapa kwa mchina, maasai wamemdhulum nafsi R.i.P Classmate...😮💨
Na me imebaki kidogo tu, maana toka nitelekezwe na ua la warid na me nikapotea jukwaani 😆😆😆Baada ya JF kufungiwa na TCRA watu wengi hawajaonekana tena.