Broken hearts(quotes)..tukutane hapa tuliopigwa matukio

Broken hearts(quotes)..tukutane hapa tuliopigwa matukio

when was the last time
 
Attachments

  • e8b8caad653a41f4a9042bb0a93bf40a.mp4
    11.1 MB
Wakati mwingine sio kila tukio tunalopitia linasababishwa na watu wengine. Kuna muda attitude zetu, maamuzi yetu au namna tunavyowachukulia watu ndiyo huleta hayo matukio. Positive mind na kujitafakari vinaweza kusaidia zaidi kuliko kulaumu kila mtu .
upo sahihi
 
Attachments

  • IMG_2136.png
    IMG_2136.png
    1.3 MB · Views: 15
Poleni sana wenyewe mmefanyiana heartbroken hayanga miongozo...
Jaribuni hii kitu...

Cc: Mahondaw
1 . Mwambie mtoa mada time heals ajipe muda

2. Ajifunze kulet it go asikae na mizigo kwamoyo may be kuna fursa kibao zinamsubiri yee kang'ang'ana na limtu tu
3.Akitoka nje kuna MBA zakushatro( Married but available watamgonga tu mwisho wa siku anarudi kwa familia )
4. Au hayanaga mwongozo kavipi jitolee kumfariji
 
Nimeokoka... Naogopa dhambi...
 
Back
Top Bottom