secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Na Seran, siyo?Na me imebaki kidogo tu, maana toka nitelekezwe na ua la warid na me nikapotea jukwaani 😆😆😆
Na Seran, siyo?Na me imebaki kidogo tu, maana toka nitelekezwe na ua la warid na me nikapotea jukwaani 😆😆😆
No nilikuwa na ua la waridi, nikapotea kama mbosso aiseee kwa lile huba ghafla akavepa kama upepo yaani kama saizi ningekuwa nakula zangu sauti tamu na maridhawa ya lile toto aiseee🔥🙌🙌Na Seran, siyo?
Hilo au lilikuwa humu?No nilikuwa na ua la waridi, nikapotea kama mbosso aiseee kwa lile huba ghafla akavepa kama upepo yaani kama saizi ningekuwa nakula zangu sauti tamu na maridhawa ya lile toto aiseee🔥🙌🙌
SIO HUYO ULIYETAG ALIKUWEOO TOTO MOJA MATATA SANA SEMA ALINIACHA MATAAA😳😳😳😳, IKABIDI NIHAME NA PLATFORM 🤣🤣🤣Hilo au lilikuwa humu?
Mtaje huyo mtoto, nipate kumjua 😎.SIO HUYO ULIYETAG ALIKUWEOO TOTO MOJA MATATA SANA SEMA ALINIACHA MATAAA😳😳😳😳, IKABIDI NIHAME NA PLATFORM 🤣🤣🤣
NDO ANAITWA HIVO SASA SIJAMUONA KITAMBOO UA LA WARIDI LILILONIPA UBARIDI KWENYE NAFSI YANGU🔥🔥Mtaje huyo mtoto, nipate kumjua 😎.
HaaaaaaaaahBreaking News:-
Baltazar Egonga hatimae aachiwa huru leo baada ya kukaa jela kwa miaka miwili
Ulimtongoza lakini?NDO ANAITWA HIVO SASA SIJAMUONA KITAMBOO UA LA WARIDI LILILONIPA UBARIDI KWENYE NAFSI YANGU🔥🔥
Yes sema nikashangaa tu mwaka mpya ulivoingia na mambo mapya akaingia nayo🏃🏃🚶Ulimtongoza lakini?
Usikate tamaa mkuu, mabinti wazuri humu bado wapo.Yes sema nikashangaa tu mwaka mpya ulivoingia na mambo mapya akaingia nayo🏃🏃🚶
No achana nao ni utani tu wa hapa na pale 🔥 kwani jf bila vpn inafunguka?Usikate tamaa mkuu, mabinti wazuri humu bado wapo.
Inafunguka 😂.No achana nao ni utani tu wa hapa na pale 🔥 kwani jf bila vpn inafunguka?
Me nilishangaa kwa wifi inafunguka kwa halotel haifunguki ushenz mtupu.Inafunguka 😂.
😂😂😂😂.Me nilishangaa kwa wifi inafunguka kwa halotel haifunguki ushenz mtupu.
Anakuja tena kuwamaliza 🔥🔥🔥Breaking News:-
Baltazar Egonga hatimae aachiwa huru leo baada ya kukaa jela kwa miaka miwili